SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wadau , hivi US inapokwenda kupambana kuisaidia Israel, je? nchi nyingi zita support kweli Israel?

Kwa maana tumeshuhudia mgogoro wa Israel na nchi za EU kama Uk na France, Netanyahu akitoa kauli za dharau na ubabe, hivi Israel itapata full support kama ilivyo kawaida?

Mgogoro wa Israel na Hamas ambapo ulipelekea Israel kuua raia wa Palestine karibu 60,000 umepelekea kuharibu mahusiano iliyokuwa nayo Israel na baadhi ya nchi za EU na hata nchi za kiarabu ambazo walikuwa mahasimu wa Iran... nchi kama UK na France walipojaribu kukemea Netanyahu alijibu kwa kebehi na dharau..

Hivyo hakuna nchi mashariki ya kati itatoa ardhi yake ili Israel ifanikishe malengo yake...

Hata hivyo baadhi ya nchi za EU hazikubaliani na Israel kile inafanya Gaza, hii itapelekea kutoa msaada ambao ni kidogo kwa Israel, hata wananchi wa US wengi hawaungi mkono jeshi la US kuipigania Israel kwa ugomvi wameanzisha wao wenyewe...

Israel ipo katika wakati mgumu..
Hata kama EU wataipa msaada Israel itakuwa kwa shingo upande.. kuna nchi za EU zilipendekeza Palestine liwe taifa huru...

US yupo kinyonge kwenye hili, ngoja tuone mwisho wake.. lakini dunia ipo na Iran katika hli..
 
1000181301.jpg
 
Wanachofanya Iran sahivi ni kuchokoza ADS za Israel ili zichanganyikiwe alafu baada ya hapo wanatuma makombora ya maana alafu wanatulia tunamuona Netanyahu anaenda kukagua kifusi na kupiga mkwara akirudi kwenye mahandaki Iran wanafyatua vyuma vingine kwa mwendo huu Israel hapakaliki inabidi ukae chini ya ardhi kama panya
 
Kuna mtu anaweza kunambia uhusiano gani wa kindugu, kisiasa, kitamaduni, kijamii, kijeshi au wa aina ina yoyote ule alionao Israel na mataifa makubwa ya Ulaya na US?

Yaani ukimgusa Israel kidogo tu ni kama umekanyaga kende za USA na washirika wake.
NB. Asitokee mtu akanambia wanasyansi wa Israel ndio wanaoiongoza USA na upuuzi kama huo.
It is simple fact,ukitaka kujua uhusiano huo ni muhimu ujue why Taifa la Israel lilianzishwa katika eneo hilo.
Ukanda huo una reserve kubwa ya mafuta na gas,ambavyo ndio vitu muhimu katika uchumi wa Dunia.Mfano nchi ya Irani ni ya pili Duniani kuwa na kiba nyingi ya Gas Duniani nyuma ya Urusi na 4 Duniani kuwa na akiba kubwa ya mafuta.
So,simply USA na EU wanataka wawe na control ya hizo nchi zilizopo ukanda huo ili waweze kupata hizo rasilimali kwa wepesi zaidi.Hivyo,basi Taifa la Israel lilianzishwa hapo kwa ajili hiyo,ndio maana utaona mataifa yote yaliyopo ukanda huo watu wake ni waarabu Israel pekee ndio sio waarabu ni wazungu pure.
 
Marekani kaonywa na Washauri wa KIJESH pigania Mdomoni tu sio kwa MOTO !!!

Iran awatanii watafeka kila kitu chetu apo Mashariki ya kati, !!

ukiona mtu unamtisha lkn akuogopi ndugu inakubidi ww ndio uwe muoga. !!!

ISRAEL inasambalatishwa hakuna wakumsaidia Washilika wote wamekaa pembeni awana cha kumfanya Mwamba Iran !!!

hakuna tofaut yoyote na Palestina ilipigwa na Israel hakuna Mwarabu alimsaidia Palestina Dunia inazunguka leo Israel Inachimbuliwa chini juu Wazungu wote Wanatoa macho tu kimya kimya !!!

iyo ndio Iran Dunia itaelewa tu kuwa Technology ilikuwa inaibiwa kwao ,,
Hongera umejishinda soda ya bure kutoka kwangu kwa kuandika comment ninayoipenda
 
Nilisema juzi western countries wakiona Israel anachapika wataomba sulphur kwa njia ya mazungumzo. Na leo ni siku ya 7 tu wameomba mazungumzo na Iran.

Kamwe wasingeomba suluhu kama Iran ndio ingekuwa mechanical.

Natamani Iran asiende wala kuitikia mwito wowote wa mazungumzo. Kichapo kiendelee alau kwa miezi kadhaa
 



Hii sio Gaza,lebanon au Syria bali ni Tel aviv😹😹myahudi kayakanyaga
 

Attachments

  • militainment_hub-20250619-0005.mp4
    1.3 MB
  • militainment_hub-20250619-0004.mp4
    1.4 MB
  • militainment_hub-20250619-0003.mp4
    991.7 KB
Mkuu mimi nadhani tuondoe hisia kidogo. Waisrael wakiwa ndani ya nchi au nje ya nchi wapi wanakuwa salama sana kwao?

Kuna aliyezungumza hapo kuwa wanakimbilia Cyprus, wakati ndio wanatoka Cyprus kurudi kwao kipindi hiki
Hebu mkuu na wewe niusaidie kusoma hapa vizuri
View attachment 3376054
Hata mtoto wa darasa la 2 ukimueleza hivi anaweza kukudharau kabisa.Hapa duniani ji mtu gani aone nchi yake kila siku kuna maafa na vifo halafu akajipeleka.
 

Kuna point labda hatujaelewana. Mm nilichobisha ni full statement ya waisrael kuikinbia nchi. Lakini kwa Hali ya kawaida kwa watu wote nchi nzima lazima watakuwepo wataoondoka na nilisemma hasa wenye uwezo, lakini haiwezi kuwa maana yake raia wanakimbia.

Nikakutolea mfano wannchi wa Iran unafikiri wao huko hakuna wanaoondoka? Je tunaweza kusema in a full statement wairan wanakimbia nchi?
Mfano hapa kuna wairan ambao wameomba ukimbizi nchi jirani, je tunaweza kuconclude kuwa wairan waanza kukimbia nchi na kuomba ukimbizi sababu ya hawa?
Screenshot_20250619-212302_1.jpg

Screenshot_20250619-212318_1.jpg
 
Back
Top Bottom