gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Iron dome ifanye yake wapi!!?..mzigo umetua,na mzigo mmoja umeenda kupiga iron dome ikaanza kurusha makombora na kulipukaNilisikia Iran jioni karusha vipi au iron dome kafanya yake
Iron dome ifanye yake wapi!!?..mzigo umetua,na mzigo mmoja umeenda kupiga iron dome ikaanza kurusha makombora na kulipukaNilisikia Iran jioni karusha vipi au iron dome kafanya yake
Oyaa! Kanyaga kichwa huyo,bado anapumuaMaelezo ya suleiman kuwa na wake buku na mahawara 700 lakini watoto watatu!?..au yakobo kupigana mitama na Mungu?
Majini yesu kayatoa mengi tuYes yapo kitu pekee bibla haina urafiki nacho na haijataja ila nyie mwakipenda ni majini
Yes ila nyie si mnawataja kama marafiki wenu but si kwetu ni maaduiMajini yesu kayatoa mengi tu
Mkuu nimeona kama Iran hapo wana test kombora lina multiple warheads, hii mbona noma sana..Iron dome ifanye yake wapi!!?..mzigo umetua,na mzigo mmoja umeenda kupiga iron dome ikaanza kurusha makombora na kulipuka
Nguo gani wamaanisha za ndani au hii mitumba ya karumeIsrael imevuliwa nguo zote...majigambo meeengiiii kumbe zero kabisa
Mtu awe na wake buku mahawara mia saba,halafu eti watoto watatu,hapo si ni wazi story imetungwa na mtu mwenye upeo wa mtoto wa darasa la piliOyaa! Kanyaga kichwa huyo,bado anapumua
Ni vitu vya kawaida labda kwa wewe mgeni wa hapa jijiniMkuu nimeona kama Iran hapo wana test kombora lina multiple warheads, hii mbona noma sana..
But objectives were met by 💯%,Kwa Gaddafi ilikuwa hivi pia
We unahisi maendeleo ni kumiliki missiles tu wakati dunia iko busy kufika Juani na ai pamoja na vitu vingine vingi,USA, Israeli na west wanataka regime change Iran ili liwe Taifa linalowategemea wao kwa kila kitu in return wawape mafuta na gas.
West hawataki kizazi kinachofikiri na kuchalenge ndio maana Babu zetu Africa walipojaribu kuwa wahunzi waliwakamata na kuwaua/kuwafunga huku wakitaka watu wawe makarani wao.
Hata sasa Africa tunatukuzwa ukisomea kuwa ofisini masomo kama uhasibu, Ugavi na ugawaji, nk tumediscourage engineering, science, technology nk.
Kizazi cha sasa cha Iran ni tishio kwa west, kama wamekaa na vikwazo zaidi ya 40yrs na bado wako moto hivyo basi ni hatari hao raia.
Majini ni viumbe kama wewe Wana fate kama wewe maana wanapaswa kutenda mema,wapo wahuni kama wewe na ndiyo maana Quran imekataza ushirikiano wa majini na binadam kumuasi Mungu, tatizo binadam mnadhani hii dunia yenu pekee yenu,majini na viumbe vyote vilikuwepo kabla ya binadam,so acheni kuwapiga mbwa barabarani bila sababu,dunia yetu soteYes ila nyie si mnawataja kama marafiki wenu but si kwetu ni maadui
Huo ni mtego kaka ambao Pakistan 🇵🇰 lazima aukatae. Kwanini asitumie hizo base zake za kijeshi kwa puppets zake wa kiarabu.Hivi wadau hili suala la US kuiomba PAkistan iweke kambi ya jeshi kwa kuwapa makombora ya kisasa, jet fighter za kisasa F-35 na msaada wa kijeshi na pesa, hivi hili India inalichukuliaje? mbona kama US anaisaliti India?
Kwa kuipa vifaa kama hivyo Pakistan kisa tu wapate access kuishambulia Iran ina maana US imeamua kuitoa kafara India kisa tu kuimaliza Iran? maana Pakistan wakipata hivyo vyombo India ipo matatani.. India si ni rafiki wa Israel? hi imekaaje?
Hapa nimeamini Iran inaogopeka
Na mkaambiwa lugha ya mbinguni ni kiarabu 🧸DahMtu awe na wake buku mahawara mia saba,halafu eti watoto watatu,hapo si ni wazi story imetungwa na mtu mwenye upeo wa mtoto wa darasa la pili
Hili si ndiyo yule kamanda alizade alisema lina 100 warheads,wakituma kumi ni sawa na wametuma bukuMkuu nimeona kama Iran hapo wana test kombora lina multiple warheads, hii mbona noma sana..
Ni maini yako, wananchi wa Iran hawamtaki Ayatollah, wanataka secular government , we mmatumbi wa tanganyika unajitesa bureKufa ni moja ya majukumu vitani. Haondoki mtu wala hatuogopi kifo
AiseeIron dome ifanye yake wapi!!?..mzigo umetua,na mzigo mmoja umeenda kupiga iron dome ikaanza kurusha makombora na kulipuka