SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kwenye Quran hao ni manabii wa Allah na si wafalme, waisrael hata yesu walimuita 'mfalme wa wayahudi' lakini kimsingi ni nabii
Even kwenye biblia yesu hakuwa mfalme ila daudi na Suleiman walikuwa wafalme wa Israel ila quran huwa naona kama ni summarized Bible alafu ikaongezewa uongo mwingine
 
Even kwenye biblia yesu hakuwa mfalme ila daudi na Suleiman walikuwa wafalme wa Israel ila quran huwa naona kama ni summarized Bible alafu ikaongezewa uongo mwingine
Aliyekua akiulizwa 'wewe ni mfalme wa wayahudi' ni nani?..na kwa nini alivikwa taji la miba kama dhihaka?..taji huvaa nani?...cha ajabu Quran ina maelezo yaliyonyooka kuliko biblia kuhusu hao manabii
 
Aliyekua akiulizwa 'wewe ni mfalme wa wayahudi' ni nani?..na kwa nini alivikwa taji la miba kama dhihaka?..taji huvaa nani?...cha ajabu Quran ina maelezo yaliyonyooka kuliko biblia kuhusu hao manabii
Tusibishane mambo ya dini but Bible imeelezea sana Israel na wafalme wake than anybook under the sun
 
Hivi wadau hili suala la US kuiomba PAkistan iweke kambi ya jeshi kwa kuwapa makombora ya kisasa, jet fighter za kisasa F-35 na msaada wa kijeshi na pesa, hivi hili India inalichukuliaje? mbona kama US anaisaliti India?

Kwa kuipa vifaa kama hivyo Pakistan kisa tu wapate access kuishambulia Iran ina maana US imeamua kuitoa kafara India kisa tu kuimaliza Iran? maana Pakistan wakipata hivyo vyombo India ipo matatani.. India si ni rafiki wa Israel? hi imekaaje?

Hapa nimeamini Iran inaogopeka
 
Back
Top Bottom