Best_Carmine
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 897
- 1,439
Kwetu majini ni malaika wa shetani, pale shetani alipofukuzwa mbinguni washirika wake ndio wale so kwetu ni maadui ndio maana mbele ya maombi jini hutoka mwendo wa ngiri kishundu juuMajini ni viumbe kama wewe Wana fate kama wewe maana wanapaswa kutenda mema,wapo wahuni kama wewe na ndiyo maana Quran imekataza ushirikiano wa majini na binadam kumuasi Mungu, tatizo binadam mnadhani hii dunia yenu pekee yenu,majini na viumbe vyote vilikuwepo kabla ya binadam,so acheni kuwapiga mbwa barabarani bila sababu,dunia yetu sote