SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Tunabishana bure tu, waisrael ni salama wakiwa Israel sio nje ya hapo.

Pia mm Sina nguvu yoyote ya kuzuia kitu wakiamua kuhama au kubaki. Mm ni a mere peasant tu wa morogoro😅
Waisrael wenyewe wamehojiwa wamesema israel sio mahali salama kwa sasa, Israel imepokea kipondo kikali sana this time mpaka kwenye makazi ya watu ndio maana raia wamekua na hofu sana, pia israel kijographia anadisadvantage sababu eneo lake dogo vimondo vikishuka madhara yanakua makubwa,pia hamas na hezbollah wameshamchosha sana ndio maana wanaangaika sana kutafuta shortcut yakuuangusha utawala wa iran kuliko kuvirefusha vita...safari hii hatoboi
 

Attachments

  • FB_IMG_1750352107244.jpg
    FB_IMG_1750352107244.jpg
    9.3 KB · Views: 21
USA ikiingilia kati utawala wa iran utaanguka wataweka vibaraka wao..
NB.. Haya ni maoni yangu rejea iraq,libya.
Mchina kishapeleka chombo mbili za electronic warfare hapo ghuba ya uajemi

BRICS + chimbo la mafuta bei chee, urusi kapiga mikwala mtu ole wake aguse wanasayansi wake Iran,kiduku katuma makombora kumi uelekeo wa kambi ya marekani Guam,hii ni vita ya kambo ya magharibi na mashariki,ikiendelea basi kutakua na taswira mpya mashariki ya Kati
 

Attachments

  • Screenshot_2025-06-19-18-21-41-639.jpg
    Screenshot_2025-06-19-18-21-41-639.jpg
    274.2 KB · Views: 19
Ukiweza kupiga financial districts kwenye biashara maana yake unapiga kwa elites inawavunja moyo na hao ni financiers wakubwa kwenye vita na hawataki bughudha. Matokeo yake ndio wanakimbia nchi kwenda kwengine. Military figures wao ndio maisha yao na wako tayari mpaka tone la mwisho la damu. Ndio maana Iran anapiga maeneo ya biashara makusudi pamoja na hizo military targets
 
Mchina kishapeleka chombo mbili za electronic warfare hapo ghuba ya uajemi

BRICS + chimbo la mafuta bei chee, urusi kapiga mikwala mtu ole wake aguse wanasayansi wake Iran,kiduku katuma makombora kumi uelekeo wa kambi ya marekani Guam,hii ni vita ya kambo ya magharibi na mashariki,ikiendelea basi kutakua na taswira mpya mashariki ya Kati

Hiyo ya North Korea habari ya lini hiyo?
Yaani North Korea karusha makombora Guam?
 
Kuna mtu anaweza kunambia uhusiano gani wa kindugu, kisiasa, kitamaduni, kijamii, kijeshi au wa aina ina yoyote ule alionao Israel na mataifa makubwa ya Ulaya na US?

Yaani ukimgusa Israel kidogo tu ni kama umekanyaga kende za USA na washirika wake.
NB. Asitokee mtu akanambia wanasyansi wa Israel ndio wanaoiongoza USA na upuuzi kama huo.
Inaitwa political Blackmail same kama unavyoona Kwa Pdidy ila wanafanyiwa sasa wanasiasa.

Ukiona kama kesi ya Epstein, wanasiasa kibao walienda kule na matajiri wakubwa wanabaka watoto wanarekodiwa, wanafanyiwa/wanafanya mambo machafu wanarekodiwa hii inawapa power ila Kunakua na mtu ana remote nyuma.

Mind you Israel sio top wanao control wanasiasa wa Marekani bali hizo deep state ambao wengi wanahusishwa na uetengenezaji silaha na bank system.

Hizo Deep state zinawatumia wote wanasiasa na hao Zionist.

images (74).jpeg

Huo msemo ni kuntu sana, West unamtukana hata kumzaba kibao kiongozi, hufanywi chochote ila ukileak tu Boeing ama kucriticise watu fulani umekwisha.
 
Back
Top Bottom