SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wewe pro lran utaambiwa nini kizuri cha lsrael ukubali? Ondoa ushabiki kwanza na ukubali kujifunza ndio utaelewa ukweli ulivyo
Wewe nilishaachaga kujadiliana na wewe maana ni psychopath.
Endelea kudanganyana na mwenzako kuwa Israel ina viwanda vya silaha nje ya nchi.
Pia hata usinijibu aisee.
 
Ona hii jamaa.

View attachment 3377492
Hapo wanadai kuwa wanahofia kuangukia kwao ndio maana wanatatungua ila tunajua dhahiri ni janja janja ya kumsaidia Israel.
Pia ongezea na mifumo ya anga ya Arrow 3 na mengineyo.
Factless guy wewe.
Hizo ni drone me naongelea missiles, hizo drones hata na bunduki unaitungua hizo zinaonekana hata kwa macho, kwanza unaelewa mechanism missiles zinavyofanya kazi hasa hizi modified one
 
Hizo ni drone me naongelea missiles, hizo drones hata na bunduki unaitungua hizo zinaonekana hata kwa macho, kwanza unaelewa mechanism missiles zinavyofanya kazi hasa hizi modified one
Soma hiyo habari.
Screenshot_20250621-102639.png
 
Zile process zilizokuwa zikifanyika pale zilikuwa hatua za mwanzo kabisa ya full enrichment so risk ni kidogo pia vingne vilishambuliwa havifanyi kazi kwa muda au kabla ya kukamilika, kasome BBC news or Al Jazeera walielezea vizuri hilo swali lako just kagoogle, sehemu ambapo kunaonyesha kuna risk kubwa itatokea ni fordo japo Iran pia wamesema walihamisha material before ila ukiwauliza kwanini makamanda wako waliuawa eti lilikuwa ni shambulio la kushtukiza 😁😇 I don't need peace I want problem always
Mfano kinu cha Natanz kilisadikiwa kuwa na Uranium inayo tosha kutengeneza mabomu kumi haiwezekani mitambo inayo rutubisha madini mengi namna hiyo ishambuliwe alafu mionzi isijuve.
Baada ya shambulizi Iran ilidai kuwa ilikuwa imehamisha vifaa vyote muhimu kutoka natanzi na Isfahan.
Hata Putin juzi kipindi anaongea na waandishi ya habari alisema kuwa mitambo ya kurutubisha Uranium inaendeleq kama kawaida na Israel hawataweza kufikia lengo lao.
Kumbuka ujujaji wa mionzi ulisha wahi kusababisha janga nchini Japan na kuuwa watu elfu 22 mwaka 2011 hivyo usichukilie poa.
 
Kwahiyo hujui kuwa ndani ya Israel wakristo wanatemewa mate na Wayahudi na neno kristo halitakiwi kabisa kusikika na idadi ya hao wakristo wenyewe waliopo Israel ni wachache kuliko waislam?
Ndiyo maana nilikuuliza hivyo ndivyo ulivyo karirishwa?

Nchini Israel ni kosa kwa mtu yeyote kumtemea mate na ukipatikana unafungwa miaka mitano na faini juu!!!

Kuna clip inayosambazwa na Wafuga Midevu na Majini ambayo ndiyo inatumika kama Propaganda kutaka kuonyesha wayahudi ni watu wabaya sana. Hizo ni Propaganda uchwara tu.

Nakuambia hivyo kwa sababu mimi mwenyewe nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025 nimeona kwa macho yangu kuwa tunayoambiwa na Wafuga Midevu na Majini ni uongo uliopindukia.
 
Attachments

  • v09044g40000cvtuai7og65k4t1inqr0.mp4
    25.7 MB

Unavyoandika reply ndefu kama unaandika point ila sasa ni masikitiko,
Yaani we utafanya kutengeneza kamikaze na hypersonic missiles ndio uwe father wa technology, kwanza mbabe wa hypersonic na mwanzilishi ni Russia, kuna mataifa yameiva kila angle kuanzia ardhini majini na angani, nchi haina hata ndege wala manowari za kivita uiite father of technology, haimiliki hata ICBM 1 hypersonic zenyewe ni za kuhesabika hata Israel anajua heshima hiyo idadi yake tu kwa niaba ya Israel anajua heshima yake kwa wingi Iran. kuliko hata USA, Russia na china
Me sio mzuri kwenye kuandika me napenda oral debate nipe namba yako ya WhatsApp vita iendelee
Achana naye mkuu!
 
Ndiyo maana nilikuuliza hivyo ndivyo ulivyo karirishwa?

Nchini Israel ni kosa kwa mtu yeyote kumtemea mate na ukipatikana unafungwa miaka mitano na faini juu!!!

Kuna clip inayosambazwa na Wafuga Midevu na Majini ambayo ndiyo inatumika kama Propaganda kutaka kuonyesha wayahudi ni watu wabaya sana. Hizo ni Propaganda uchwara tu.

Nakuambia hivyo kwa sababu mimi mwenyewe nilienda huko April 08,2025 na nimerudi June 08,2025 nimeona kwa macho yangu kuwa tunayoambiwa na Wafuga Midevu na Majini ni uongo uliopindukia.
Kumbe Jewish wako peace tofauti na masimulizi ya waajemi.
 
Back
Top Bottom