Huu ni mtazamo wa naniHatuangalii uharibifu wa majengo na mali za kivita, bali tunaangalia idadi ya wanajeshi na viongozi waliopoteza maisha kutokana na hii vita.
We ni kiaziAmna kitu hauelewi ni kwamba viwanda vya kivita vya Israel vingi vipo nje ya Israel so ile ni mizigo yao kungekuwa kuna ujio wa makombora mapya Iran angekuwa ashaongea ila yatakuja ni suala la muda, kama uliangalia ile taarifa ya waziri wa Israel kaisome vizuri au kafanye utafiti vilipo viwanda vya Israel vya silaha
Kwamba viwanda vingi vya kivita vya Israel vipo nje ya Israel.Nimeishia kusoma hapo tu uko pengine ningepoteza mda 😅😅😅😅kwambaaa ?
Technology ya kijesh na ata mambo mengine Iran yupo mbali leo watu wa Duniani awajawai kuona Technology ya kijesh kama hiii Iran anayotumia !!!Unazungumzia technology gani, hadi Iran umwite baba wa technology hivi unaijua technology?
Viashiria ni hivi hapa. Teknolojia ya Iran isingekuwa inatisha. Wasingekimbiza raia wao.Unazungumzia technology gani, hadi Iran umwite baba wa technology hivi unaijua technology?
The IDF provided no visual evidence or independent verification to support the claim (death of Joudaki). Iranian officials have not yet commented on the alleged strike or confirmed any casualties.Israeli military says it has killed Aminpour Joudaki, head of drones
🇮🇷🇮🇱‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️
Jericho ipo kwenye Paper na Media wewe wapi umesikia imetumika ???Sema we jamaa, yaani Israel unamaanisha hana missiles za kupiga direct hadi Iran au sijakuelewa sababu huweki viulizo?
Wakati Israel ana hadi ICBM kafatilie kuhusu missiles za jerich III, ana uwezo huo sema kama umesoma target za Israel za kuwafokoa viongozi wenu pamoja na target zenu kwake yeye mbinu itamfaa zaidi ni fighter jets na Israel huwa ni mbaya sana sehemu hii, Israel pale middle east ndio nchi inayofuata kwa stock za missiles after Iran..na Iran lazima akae
Tutakuwepo 👉
Usitukane kijana ila kafuatilie Israel industrial weapons IWI viwanda vyake vipo wapi pamoja na elibit systems halafu urudi jukwaani kuwapa elimu pro Iran wenzakoWe ni kiazi
So overall tukubaliane Israel hana missiles za kufika Iran au sioJericho ipo kwenye Paper na Media wewe wapi umesikia imetumika ???
Kwa visingizio kama hivyo ndiyo utaizuia Israel kumiliki anga la Tehran? Unataka kutuaminisha IRAN yeye anatumia mifumo yake hana mifumo ya Russia anayotumia? Au yeye kutumia mifumo ya nchi nyingine ni sawa Ila Israel inakuwa si sawa!!!!!Israel inalindwa na mifumo hadi ya USA na UK pia Jordan wanasaidia kuyadungua hayo makombora.
Huo ubora wa mifumo ya ulinzi ya Israel uko wapi?
Unavyoandikaga reply ndefu kama unaandika pointi ila sasa ni masikitiko,Technology ya kijesh na ata mambo mengine Iran yupo mbali leo watu wa Duniani awajawai kuona Technology ya kijesh kama hiii Iran anayotumia !!!
Technology ni neno lenye maana ya Ufundi !!
Speed ya Hypersonic Missile ya Iran ata Vita ya Russia na Ukraine Dunia aijaona Vitu vya mfano wa ivi !!!
Au ww umeona wapi ??
Weka na Ushaidi wana JF waone !!
hiii Vita adi leo BABA wa High Technology yupo nyumbani kwake pale Iran ajatoka nje ya Iran yupo uko 2000+km !!!
IRAN kwann asiwe BABA wa High Technology ya kijesh !!
twende Ukraine imepigwa leo miaka 3+ lkn bado miji ya Ukraine inavutia safi !!!
Saaa BABA wa High Technology katupigia ISRAEL kwa siku 5 tu miji yote ya Israel imekuwa New GAZA Shubamit .!!!
Na Ajabu atusikiii mbwa yoyote wa KIZUNGU kudai kupeleka Silaha kama kule Ukraine !!! IRAN TAIFA TEULE OG
Wanakuna upele tu ndio maana wanamlilia TrumpHivi haya mashambulizi ya Israel kwenye vinu vya nukilia vya Iran mbona hayaja sababisha mionzi ya kinyukilia kuvuja au Uranium ilisha hamishwa kabla ya shambulizi?
Ndio icho walitangaza Iran kuwa walijua hii mbungi miez 3 iliopita ivyo ikaamisha maji mazito yote ..Hivi haya mashambulizi ya Israel kwenye vinu vya nukilia vya Iran mbona hayaja sababisha mionzi ya kinyukilia kuvuja au Uranium ilisha hamishwa kabla ya shambulizi?
Walijua wakahamisha maji mazito yote wakasahau Makamanda wao 30+ wakauwawa kama kumbikumbi!!!Ndio icho walitangaza Iran kuwa walijua hii mbungi miez 3 iliopita ivyo ikaamisha maji mazito yote ..
Ulaya wamemfanyaje mrusi kama sio uoga wao na kubwekea mbali kama mbwa kokoHuwajui ulaya ww vzr muulize mrusi