SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huuu ndio Ukweli !!!

Ukitaka kujua kwann Iran ndio BABA wa Technology !!!

Wazungu wamekwama Kitechnology kwa Iran na ivyo akuna Mzungu ataingilia iyo Vita Si Tramp wala Ulaya !!!

Iyo Vita inaenda Sasa Wazungu watakuwa wanaumia sana lkn awana cha kufanya Kijesh !!!https://www.jamiiforums.com/attachm...2351006&hash=ff293c9ce29823c509f7bbc0d2cdf7e7

zaid ni iki wanachofanya sasa kuongea ili kuitoa ISRAEL kwenye Mdomo wa Iran !!

Sawa tu na Palestina inapigwa na Waarabu awakuwa na lakufanya leo tunashuhudia kwa ISRAEL ikipigwa na akuna wa kusaidia ,

IRAN NI TAIFA TEULE OG..
Unazungumzia technology gani, hadi Iran umwite baba wa technology hivi unaijua technology?
 
Ni kweli wangeacha tu Israel iigalagaze Iran maana kuna watu humu walikuwa wanawaramba miguu sana Iran acha wapigwe sawasawa!!!

Trumpa acha kabisa usiwazuie Israel kushusha kipondo kwa magaidi wa Iran
Hadi leo cargo plane 14 zisha tua tel aviv kutoka Us,Uk na Germany kumuongezea siraha Israel,Anae itaji msaada zaidi kwenye hii vita ni Israel wala sio Iran
 
Hadi leo cargo plane 14 zisha tua tel aviv kutoka Us,Uk na Germany kumuongezea siraha Israel,Anae itaji msaada zaidi kwenye hii vita ni Israel wala sio Iran
Amna kitu hauelewi ni kwamba viwanda vya kivita vya Israel vingi vipo nje ya Israel so ile ni mizigo yao kungekuwa kuna ujio wa makombora mapya Iran angekuwa ashaongea ila yatakuja ni suala la muda, kama uliangalia ile taarifa ya waziri wa Israel kaisome vizuri au kafanye utafiti vilipo viwanda vya Israel vya silaha
 
Hadi leo cargo plane 14 zisha tua tel aviv kutoka Us,Uk na Germany kumuongezea siraha Israel,Anae itaji msaada zaidi kwenye hii vita ni Israel wala sio Iran
Juzi ndege 3 za presidential za iran zilifika Oman,
Inaaminika zilipebeba familia za viongozi.

Source: wion
 
Hivi Iran hajafanya hata shambulio la ndege kwenda Israel ?
Kama una Kombora linafika unapotaka kupiga ukiwa apo apo nyumbani kwako !!!

yanini tena kutafuta mtu apande ndege ujaze mafuta ya kwenda kurudi shida yote yanini !!!

IRAN Anakubutua kama anacheza Draft akiwa Iran uko uko.. !!

Iran ni BABA wa Technology wengine walikuwa wanawaibia !Technology zao !!

ni sawa na Marekani involalamika kuusu China !!

ndivyo pia IRAN miaka mingi imekuwa ikilalamika kuwa Wanaibiwa Technology zao na Wazungu.. !!!

ISRAEL awezi kufanya ichi Iran anafanya !!

Israel ana uwezo wa kutumia Kombora kutoka kwake kwenda Iran ndio mana anaangaika ndege !!!

na ndio mana Marekani inamakambi mengi ya Kijesh apo Mashariki ya kati.

Tukumbuke pia Sababu ya Marekani kuogopa kuingia mojakwamoja Kijesh na Iran !!!

kitendo icho kinaweza pelekea Iran kushinda Vita Haraka Sababu Iran itapata Sababu ya kupiga kambi Zote za kijesh za Marekani za siri na zawazi !!

apo sasa itafanya Israel ipate Tabu kutumia ndege mwendo wa 2000+km wkt uwezo wa Makombora ana kutoka Israel to Iran !!!

hiii Vita lazima Wazungu watatafuta Diplomacy kutatua Vita haraka. Sana !!

kabla mambo ayajawa mengi uko mbele Israel itatepepa na Iran itagoma kutatua Vita kwa Diplomacy Itatoa Sababu ya wao ndio Wameanza kushambuliwa !!

pia iran Watataka na kulipwa Fidia ili kumaliza Vita Wakigoma !! Iran itaamua kuendelea na Vita apo sasa Vita itaamua atma ya Iran au Israel,,
 
Kama una Kombora linafika unapotaka kupiga ukiwa apo apo nyumbani kwako !!!

yanini tena kutafuta mtu apande ndege ujaze mafuta ya kwenda kurudi shida yote yanini !!!

IRAN Anakubutua kama anacheza Draft akiwa Iran uko uko.. !!

Iran ni BABA wa Technology wengine walikuwa wanawaibia !Technology zao !!

ni sawa na Marekani involalamika kuusu China !!

ndivyo pia IRAN miaka mingi imekuwa ikilalamika kuwa Wanaibiwa Technology zao na Wazungu.. !!!

ISRAEL awezi kufanya ichi Iran anafanya !!

Israel ana uwezo wa kutumia Kombora kutoka kwake kwenda Iran ndio mana anaangaika ndege !!!

na ndio mana Marekani inamakambi mengi ya Kijesh apo Mashariki ya kati.

Tukumbuke pia Sababu ya Marekani kuogopa kuingia mojakwamoja Kijesh na Iran !!!

kitendo icho kinaweza pelekea Iran kushinda Vita Haraka Sababu Iran itapata Sababu ya kupiga kambi Zote za kijesh za Marekani za siri na zawazi !!

apo sasa itafanya Israel ipate Tabu kutumia ndege mwendo wa 2000+km wkt uwezo wa Makombora ana kutoka Israel to Iran !!!

hiii Vita lazima Wazungu watatafuta Diplomacy kutatua Vita haraka. Sana !!

kabla mambo ayajawa mengi uko mbele Israel itatepepa na Iran itagoma kutatua Vita kwa Diplomacy Ikotoa Sababu ya wao ndio Waanza kushambuliwa Watataka na kulipwa Fidia ,,
Sema we jamaa, yaani Israel unamaanisha hana missiles za kupiga direct hadi Iran au sijakuelewa sababu huweki viulizo?
Wakati Israel ana hadi ICBM kafatilie kuhusu missiles za jerich III, ana uwezo huo sema kama umesoma target za Israel za kuwafokoa viongozi wenu pamoja na target zenu kwake yeye mbinu itamfaa zaidi ni fighter jets na Israel huwa ni mbaya sana sehemu hii, Israel pale middle east ndio nchi inayofuata kwa stock za missiles after Iran..na Iran lazima akae
Tutakuwepo 👉
 
Back
Top Bottom