City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Tangazo limetoka watu warudi mtaani
Iran ni wepesiWaziri wa mambo ya nje wa Iran anasema wapo tayari kutumia diplomasia endapo Israel itaacha kushambulia Iran
Sio nuke test, source ya tetemeko ni km 2 chini ya ardhiNuke test
Huuu ndio Ukweli !!!Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema wapo tayari kutumia diplomasia endapo Israel itaacha kushambulia Iran
Sawa mkuu tusubiri baada ya muda tutajuaHuuu ndio Ukweli !!!
Ukitaka kujua kwann Iran ndio BABA wa Technology !!!
Wazungu wamekwama Kitechnology kwa Iran na ivyo akuna Mzungu ataingilia iyo Vita Si Tramp wala Ulaya !!!
Iyo Vita inaenda Sasa Wazungu watakuwa wanaumia sana lkn awana cha kufanya Kijesh !!!https://www.jamiiforums.com/attachm...2351006&hash=ff293c9ce29823c509f7bbc0d2cdf7e7
zaid ni iki wanachofanya sasa kuongea ili kuitoa ISRAEL kwenye Mdomo wa Iran !!
Sawa tu na Palestina inapigwa na Waarabu awakuwa na lakufanya leo tunashuhudia kwa ISRAEL ikipigwa na akuna wa kusaidia ,
IRAN NI TAIFA TEULE OG..