City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Israel muda huu imeshambulia hashamabad
Mkuu mm simsapoti Israel Wala Iran, yoyote ambae updates zake zinakuja akiwa anashambulia basi naziwekaEndelea kumsapoti Israel, amepigwa vinu vyakutosha,
Hivi Iran hajafanya hata shambulio la ndege kwenda Israel ?Mkuu mm simsapoti Israel Wala Iran, yoyote ambae updates zake zinakuja akiwa anashambulia basi naziweka
Nina sources nyingi ambazo zipo intact tukio linapotokda
Hata Iran aliposhambulia kwa makombora nimeweka tukio zima huko juu kaangalie
Ahsante
Endelea kutupa update mkuu, wewe ndio source yetu ya uhakika ya kutupa picha halisi huko vitani bila kuweka mahaba.Mkuu mm simsapoti Israel Wala Iran, yoyote ambae updates zake zinakuja akiwa anashambulia basi naziweka
Nina sources nyingi ambazo zipo intact tukio linapotokda
Hata Iran aliposhambulia kwa makombora nimeweka tukio zima huko juu kaangalie
Ahsante
Anga la Iran lipo uchi Wazayuni wanajipigia tuMlipuko mwingine mkubwa eneo la isfahan
Sijaelewa swali, hajafanya shambulio la anga kwa maana ya kurusha makombora usiku huu au?Hivi Iran hajafanya hata shambulio la ndege kwenda Israel ?
Bila shaka anamaanisha kupeleka ndege anga la Israel kushambulia.Sijaelewa swali, hajafanya shambulio la anga kwa maana ya kurusha makombora usiku huu au?
Ndege hapana, wanatuma drones tuBila shaka anamaanisha kupeleka ndege anga la Israel kushambulia.
Hayo ma nuke yapo undergroundSio nuke test, source ya tetemeko ni km 2 chini ya ardhi
Tunaisubiri hii mkuu ndio tulale!Kuna breaking News msilale
Hata hivyo anajitajidi sana kutupa taarifa.huyu f.ala alilala halaf sisi katuacha macho😅😅
Samahani mkuu. Hapo ulikuwa unamaanisha nini?egsozi
Leta video footage inayoonyesha makombora ya Iran yakitunguliwa Jordan sio mnatumia hisiaIsrael inalindwa na mifumo hadi ya USA na UK pia Jordan wanasaidia kuyadungua hayo makombora.
Huo ubora wa mifumo ya ulinzi ya Israel uko wapi?