SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Hatuangalii uharibifu wa majengo na mali za kivita, bali tunaangalia idadi ya wanajeshi na viongozi waliopoteza maisha kutokana na hii vita.​
 
Kwani walikuwa wameacha?
Mnapaswa kuelewa mashambulizi hayafanyiki kila muda yanaweza kupita masaa mengi bila mashambulizi. Hadi sasa toka vita ianze mashambulizi huwa ni mara 2 au mara 3 kwa siku

Mfano kwa Iran hadi sasa wamepiga waves 18 ambazo ni wastani wa mashambulizi matatu kwa siku. Wanaweza wakapiga usiku waves 2, mpaka keshp yake usiku au wakapiga wave mona usiki, wave nyingine asubuhi na nyingine jioni
 
Kuna dalili U.S inaenda kutumia iraq kuipiga Iran
Ngoja tuone.....

1750453792969.png
 
Trump anasema ni ngumu kuwaambia Israel wasitishe mashambulizi ikiwa wana uhakika wa kushinda
Ni kweli wangeacha tu Israel iigalagaze Iran maana kuna watu humu walikuwa wanawaramba miguu sana Iran acha wapigwe sawasawa!!!

Trumpa acha kabisa usiwazuie Israel kushusha kipondo kwa magaidi wa Iran
 
Ni kweli wangeacha tu Israel iigalagaze Iran maana kuna watu humu walikuwa wanawaramba miguu sana Iran acha wapigwe sawasawa!!!

Trumpa acha kabisa usiwazuie Israel kushusha kipondo kwa magaidi wa Iran
Hiyo vita haiwezi kusimama, bado Israel ameshambulia na bado Iran pia usiku huu wataishambulia
 
Hiyo vita haiwezi kusimama, bado Israel ameshambulia na bado Iran pia usiku huu wataishambulia
Iran sasa hivi kadoda israel lazima itimize malengo yake mannę huko Iran ambayo ni=
1. Harm to nuclear capabilities
2. Impairment of missile capabilities
3. Reducing the potential nuclear threat to Israel
4. Bringing the Iranians to the point where they will be obliged to dismantle the nuclear program through diplomacy.

From the Chief of Staff’s remarks:
 
Vita sio rahisi mkuu, alafu Iran ni very powerful Hilo unapaswa kulijua, sio taifa dhaifu, hivyo haiwezi kuwa rahisi
 
Back
Top Bottom