SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Anayetafutwa kwenye hii vita kwa sasa ni US na jamaa ameshasanuka kitambo ndiyo maana maneno ni mengi.. japo mimi najua kabisa baba wa kweli hawezi kumwacha mtoto wake auwawe kwa dhihaka huku yeye anashuhudia na akijua wazi ndiye aliyemtuma akachokoze watu asiojua uwezo wao.

Baba wa kweli anajitoa sadaka kwaajiliya watoto wasio na hatia aliowaleta duniani pasi na wao kutaka haijalishi hata atauwawa kinyama.

Ikiwa basi USA atabaki kurusha maneno badala ya kuchukua hatua kuinusuru Israel, sisi walala hoi tutajua wazi kabisa Iran ni taifa lenye nguvu kubwa duniani ila halitaki kujionyesha na moja kwa moja kawashinda USA na Israel kwa wakati mmoja.

Nb. Kama israel inajiamini iache watu watupe habari za yanayojiri huko maana ukilinganisha air defence system ya iran inavyo nyakua makombora ipo speed sana kuliko lile litoy la israel walilopewa na USA lipo slow kichizi mpaka lina boa
Toka nijiunge jf, hii comment nimei save google drive...
 
Iran anapiga kimkakati,jana kabutua hq underground kule hospital,kishapiga miundombinu mingi, kapiga cyber unit ikiwemo Microsoft
Leo sijui kapiga nini haifa mpaka Mayor kapagawa,mayor kasema hawaruhusiwi kusema,ila haifa palikua na mlipuko wa ajabu
Maersk kashatangaza Kusitisha shughuli Haifa,
20250620_232531.jpg
 
From 200 ballistic missile per night to 1 missile, what happen to iran? Au ndio washabondwa kwenye kiini?
Iran ilirusha kombora nyingi mwanzoni kwa sababu Israel air defense systems zilikua very active, ila kwa sasa wanaishiwa interceptors na air defense systems zao zinachok kiasi kwamba Iran inarusha kombora moja na linapenya, muda kidogo ujo Israel itashindwa completely hata kurusha interceptors...
 
We jamaa kwa fix tu haujambo 😂😂 ivi unaandika ukiwa na akili zako au za mwenzako?
 
Iran ilirusha kombora nyingi mwanzoni kwa sababu Israel air defense systems zilikua very active, ila kwa sasa wanaishiwa interceptors na air defense systems zao zinachok kiasi kwamba Iran inarusha kombora moja na linapenya, muda kidogo ujo Israel itashindwa completely hata kurusha interceptors...
Bado percentage of interceptions ipo kubwa, last wave out of 20 missiles wameintercept 17 na matatu yamepenya

Je watashindwa mbeleni kuintercept, tusubiri maana wanaweza wakashindwa kweli au bado wakaweza kuintercept
 
Huyo kobazi mkazi wa nanguruwe hana akili na hakuna anachojua anaandika tu kiisia, ajui kama nchi ikianzisha vita ina mambo mengine wanaangalia ikiwamo na hilo,yeye anafikiri wenzio wamekurupuka tu hajui jamaa wapo vitani 3 years now
 
Toka nijiunge jf, hii comment nimei save google drive...
Nimemsoma lakini ameweka hisia zaidi. Iran moja ya lengo lake ni kuifuta Israel, na kama tayari kwa sasa wana huo uwezo basi hii ndio nafasi kwao hivyo wala haihitaji konakona zingine zozote ni kuendelea na mpango wao mpaka watapofanikiwa

Kusema Iran alikua anamtafura sana ili ampige US huo ni uongo sababu ya hisia.

Pili alipoweka hisia ni alipossma air defense system ya Iran inaponyakua makombora kwa speed, hapa kaweka ushabiki na hisia zaidi air defense ya Iran Inafanya kazi lakini bado fighter jets za Israel zimeweza kupiga targets walizokusudia japo sio zote hadi sasa
 
Back
Top Bottom