SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

20250620_104927.jpg


Iran's Foreign Minister:

We Will Not Talk to Anyone as Long as Israeli Attacks Continue.
 
Ni Kweli Iran kwa sasa hawezi kurusha makombola mengi sababu kadoda, Launcher za makombola hayo mengi yameangamizwa na Jeshi la Israel huko Iran hivyo Iran haina uwezo tena wa kurusha makombola 300 au 200 kwa siku moja.
Sina uhakika kama missile wameishiwa.
Labda useme wanatafuta target ya kupiga,
Kwa sasa ni sehemu chache sana za kupiga.
Maeneo muhimu tayari umeangusha bom.
Israel ni nchi ndogo sana.

Ndo maana kwa sasa wanabaki kupiga hospital, sijui masoko, apartment za watu.

Hawana sehemu za kupiga.
 
Mimi sioni sababu za msingi za Israel kuanzisha hii vita?
Hata hivyo, Israel ili underestimate nguvu ya Iran, bila kujua kuwa Iran ni moja ya Nchi zenye technoligia ya juu kabisa ya kutengeneza drone. Nchi nyingi zikiwemo Urusi, zinategemea kupata drone za kisasa kutoka Iran.
Israel inaweza kuwa na kifaru cha dola 2000,000 kikapigwa na kusamabaratishwa na drone ya dola 50,000 (matokeo makubwa kwa gharama kidogo).
Kama sio kutegemea Marekani kwenye hii vita; Israel haina ubavu wa kupigana na Iran
Mimi naona Kuna something nao wamelenga.
Wanajua iran Nini atafanya ndani ya Israel.
Tangu makombola ya kwanza yake yalivyorushwa air defense system ya Israel ilishindwa kuangusha mengi.

Wanaekewa Nini kitatokea ila inawezekana wanajua Nini wanafanya.
 
Sina uhakika kama missile wameishiwa.
Labda useme wanatafuta target ya kupiga,
Kwa sasa ni sehemu chache sana za kupiga.
Maeneo muhimu tayari umeangusha bom.
Israel ni nchi ndogo sana.

Ndo maana kwa sasa wanabaki kupiga hospital, sijui masoko, apartment za watu.

Hawana sehemu za kupiga.
Military zones zote tayari?
 
Israel anarusha kwa kutumia anga ya Iraq na Syria na pia mafuta ndege zake mara nyingine zinajaziwa anga ya Cyprus.
Nyie watu Wairan mbona wabishi halafu kitu hamna uhakika nacho we huoni zile video za jana usiku ndege karibu 20 zinapita juu ya anga mnapambana nazo, hivi unaujua umbali wa kutoka Iraq hadi Tehran
 
Mungu wa Israel amelala usingizi wa pono.

Mungu wa Israel amedhoofu.

Mungu wa Israel ameshindwa kulinda taifa lake dhidi ya makombora ya Iran.

Mungu wa Israel ni mchomvu na mdhaifu sana.
 
IDF
Kama US wataendelea kusuasua kujilipua mitano ya Nyuklia ya Iran KWA Bunker Booster sisi tutaenda wenyewe kuvamia KWA miguu. Mpango wa namna ya kupafikia KWA groundforces uko tayari ni suala la Maamuzi tu.
Nuclear facilities nyingi za iran zimepigwa mpk , kumuia ya kimataifa wanawasisi kuvuja kwa miozi.
Mpk sasa zimebaki site kama mbili.
Moja ipo chini ya mlima na nyingine Kuna scientist ya Russia walikuwa wanaunda ,
Ndo hivyo bado
 
Back
Top Bottom