stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Haki hii ni balaa, Hii ni Telaviv na Haifa kweli?
Makombora ya Iran yameleta uharibifu mkubwa sana
My take: Wanaoumia na hii vita ni raia wa kawaida kati ya mataifa hayo mawili
Hivi inamaana nchi nyingine zimeshindwa kabisa kuwaambia hawa watu waache kupigana??
View: https://x.com/WarMonitors/status/1935657429225669023?s=19View attachment 3376526
tatizo apo netenyau akirudi kujibu ni iran inakua mkaa