SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia


Israel near Microsoft office

Israel intelligence facilities zimekula moshi wa muajemi leo
Screenshot_20250620_100009_InstaPro2.jpg
 
Ahadi zake ni Feki kila siku nihivyo hvyo ITALIPA VIKALI, ITALIPA VIKALI akijibu ni nuclear site, kitu ambacho hana uhakika nacho asilimia mia juu ya wingi nuclear site za Iran.
Mimi nachoona hapa ni Israel kwakuwa anatarifa nyingi za kijasusi basi afanye haraka amuue Ayatollah otherwise ataharibiwa sana mpaka Marekani atapoingia moja kwa moja coz wameingia Vita bila kuwa na taarifa kamili juu ya uwezo wa Iran
mosaad wana njia nyingi za kumaliza hii kesi
 
Kwa hichi kipigo Cha hizi siku nne walicho kitoa Iran Sina ninacho wadai ila wakiongeza kidogo itakuwa sio mbaya

Israel alizania kupigana na Iran ni sawa kupigana na wanamgambo wa Hamas

Mwanakulitafuta mwana kulipata

Jana Irani ametesti Hypersonic missile mpya inaitwa FATAHA 1

anawasubiri wajibu awapelekee 100 Kwa wakati mmoja
Haya mapicha yoote ni fake news🤣
 
Kombora la leo limeacha shimo la hatari Beerssheba.. Iran sasa hataki kuua raia anawapiga na shockwave.
Gt20wHYW4AAgVeh
Kombola limeangukia sehem ya wazi si kwamba hataki kuua raia nataka sana lakini si rahisi kuua raia wa Israel maana kuna hatua za kiusalama zilizowekwa ikiwemo Ving’ora na Basement(Mahandaki). Hizo zote ni kuwakinga wananchi wasipate madhara na mashambulizi ya magaidi
 
Back
Top Bottom