100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,825
- 38,702
Habari za Asubuhi Beerssheba Negev Israel, mmeamkaje huko?
No sympathy, the game is the gameUnaweza kupata picha hizi missiles za Iran zina shockwave yenye nguvu kiasi gani...
Haya makombora yanafanya wananchi wahame, likitua mtaani ni kama kiama, kuanzia mtetemeko wa ardhi na sauti madhara yake ni makubwa...
Kama hii apartment imeharibika vibaya si kwa kupigwa bali shockwave tu..
View attachment 3376436
Mapicha ya kutishaHabari za Asubuhi Beerssheba Negev Israel, mmeamkaje huko?
![]()
Lipigwe bomu hospital asife mtu aisee daah kazi ipo hata kama ni ushabiki wenu huu ni kiboko..Kweli propaganda, hospital imepigwa floor ya mwisho kabisa na ipo intact wewe unaleta kifusi na hakuna aleliekufa.
#
Eli Bin, head of the Magen David Adom ambulance service, says a floor at Soroka Hospital that was hit this morning was evacuated of patients only yesterday amid the war.
“Many lives were saved,” Bin says.
Ndiyo kosa la muarabu midomo yao ipo wazi sana ...hapo ilitakiwa vitendo kuongea au unaowapiga wenyewe walie yalaaaa na kuanza kusema wenyewe muiran analopoka sanaIran na yeye anaharibu kila mara kutoa taarifa, vita kipindi inaanza Israel alishtukiza, hio nuclear reactor ya Dimona Iran haipaswi kutoa angalizo, waweke vyuma tu... Iran nao wanazingua wakati mwingine... wanatoa taarifa kila muda adui anajipanga..
Iran ni muarabu?Ndiyo kosa la muarabu midomo yao ipo wazi sana ...hapo ilitakiwa vitendo kuongea au unaowapiga wenyewe walie yalaaaa na kuanza kusema wenyewe muiran analopoka sana
Siyo muarabu japo kuna damu ya uarabu hata muislael ni damu na waarabu sema wengi wenu amjui hata wamisri...hao watu huko wamechanganya sana damu ....nilichotaka kusema ni waarabu waislamu na hao wairan (midomo yao ipo wazi sana na kufanya kupata point chache kivita)Iran ni muarabu?
Mbona maelezo mengi Iran ni muarabu au sio muarabu?Siyo muarabu japo kuna damu ya uarabu hata muislael ni damu na waarabu sema wengi wenu amjui hata wamisri...hao watu huko wamechanganya sana damu ....nilichotaka kusema ni waarabu waislamu na hao wairan (midomo yao ipo wazi sana na kufanya kupata pount chache kivita)
Mimi nilipo sema tatizo la waarabu nilimaanisha asilimia ya mataifa ya kiarabu ya kiislamu na iran anafuata huo mtindo kosa lipo hapo kumbuka walivyo piga kambi za jeshi la marekani kule iraq waliwaambia wamarekani kuwa watapiga hiyo kambi na kusababisha madhara kuwa madogo huo ndiyo upumbavu wa waarabu wote na waislamu.Mbona maelezo mengi Iran ni muarabu au sio muarabu?
Sawa lakini Iran sio taifa muarabuMimi nilipo sema tatizo la waarabu nilimaanisha asilimia ya mataifa ya kiarabu ya kiislamu na iran anafuata huo mtindo kosa lipo hapo kumbuka walivyo piga kambi za jeshi la marekani kule iraq waliwaambia wamarekani kuwa watapiga hiyo kambi na kusababisha madhara kuwa madogo huo ndiyo upumbavu wa waarabu wote na waislamu.
Wana mentality za kiarabu hivyo nimewajumuisha na wenzaoSawa lakini Iran sio taifa muarabu
Wewe ulisema ni waarabu kama mentally hata wasomali wanamentality ya kiarabuWana mentality za kiarabu hivyo nimewajumuisha na wenzao
Kila kitu ni mpango wa USA, basi kama ndivyo, kwa nini asipigwe USAAingilie mara ngapi???,huo mpango wote ni USA huyo Israel ni puppet tu kwa lugha nyingie USA na intelligence yake iliyopo hapo Tel viv ndio imezidiwa.
Mmiliki wa Microsoft ni chawa wa US..anasaidia Israel lazima achapweDuu sasa office ya Microsoft.
Au iran wameamua waangushe popote pale.
Kwani hawazijui target muhimu
Iran ngonjera zimekuwa nyingi Sana. Ni kama wanaji-expose kwa Adui......... Badala ya kufanya kweli kimya kimya wao wanaendekeza mipasho. Haya, siye mashabiki tutaendelea na tolling tu. 🔥🔥💣💣| Senior IRGC General & politician, Mohsen Rezaei:We have punished the Israelis severely until today, but it is not enough.Our punishment must be an insurance for the future so that the enemy does not dare to do this a second time.The enemy intended to create chaos in the country by assassinating senior military commanders, but this attempt was thwarted in the first 48 hours.In the next stage, it intended to turn Iran into Syria and plunge it into a 10-year period of insecurity, but today the Zionist regime itself has become Syria.![]()
In just the past 48 hours, you saw that we employed a new tactic—a combination of Fattah and Sejjil missiles— and when these are used together, they truly create serious disruption in the enemy’s defense systems.
•
Well said!Israel kajiandaa kaanzisha vita kwa kushtukiza na bado anapata tabu aisee angekua anawaza vizuri angewapotezea hao waajemi maana sio watu kabisa..