Ohoooo kumeanza kuchangamka sasa ila makobaz yanapenda vita makafiri fanyeni maajabu piga bomu chapu hapoJUST IN: 🇮🇱🇮🇷 Smoke rising near a Microsoft building in Israel following Iranian ballistic missile attackhttps://twitter.com/BRICSinfo/status/1935897481789010022View attachment 3376377View attachment 3376378
Kwahyo unataka useme kobaz angekuwa anapakana Na kafiri IsraelKwa sasa hii vita imekuwa kama porn video. Anashambuliwa m1 tu. Maana kule kunako 6/6 kawaida anayeshambuliwa ni m1. Ndivyo ilivyo kwa huu mzozo. Israel anamshambulia sana iran kuliko Iran anavyojibu mapigo. Israel inashinda kwenye vita na kwenye propaganda. Taarifa za madhara kwa upande wao zinafichwa japo madhara yapo.
Iran kinachomgharimu ni jiografia ya mipoka yake. Wangekuwa na mpaka mmoja kama ilivyo kwa Lebanon Israel asingethubutu kumgusa muIran.
Tuendelee kufuatilia tuone nini hatima ya hii vita.
Source www. Trust me bro 😅😅😅bila source hizi ni ngonjeraIsrael imeshambulia kwa makombora eneo la mazdaran Tehran muda mchache uliopita
Kabisa. Wasingehitaji kutumua ballistic missile. Wangekuwa na uwezo wa kutumia ndege kama wao. Tungeziona SU-35 kwenye anga la israel. Wangepigwa na cruise missile badala ya kutumia long range. Kifupi jiografia inawabeba sana makafiriKwahyo unataka useme kobaz angekuwa anapakana Na kafiri Israel
Kobaz angeshinda vita
Source www. Trust me bro 😅😅😅bila source hizi ni ngonjera
Israel wana jet zaidi ya 900.Ina onekana wanazo nyingi sana kwenye haya mashambulizi sijui itakuwaje huko mbeleni wakianza kurusha ground ballistic missiles kama wenzao
Yah iran kupeleka jeshi kupigan na Israel ni ngumu sana kwa sababu ya umbali.Kabisa. Wasingehitaji kutumua ballistic missile. Wangekuwa na uwezo wa kutumia ndege kama wao. Tungeziona SU-35 kwenye anga la israel. Wangepigwa na cruise missile badala ya kutumia long range. Kifupi jiografia inawabeba sana makafiri
Kingine Iran kilichowarudisha nyuma ni majasusi wa mossad, hawa jamaa walikuwa wengi sana, kila kona ya Tehran walikuwepo, hawa walikuwepo kufanya sabotage katika ADs za Iran, missiles na kuua high ranking officers... kiukweli ni jambo la kushangaza Iran bado haikuanguka.Ila Iran walitukosea sana kwenye True Promise 1 & 2, kwanini hawakufanya haya wanayofanya sasa ilhali uwezo wanao?
Walijibu kinyonge ndio maana Israel walipata kiburi cha kushambulia na kuua viongozi kila mara. Sasa hivi sidhani kama watathubutu kushambulia tena kiurahisi kama walivyokuwa wanafanya hapo kabla ya kupewa mwana ukome ya sasa.
Yah kweli ishu ni wazayuni wana majasusi wengi sana ndani ya iran.Kingine Iran kilichowarudisha nyuma ni majasusi wa mossad, hawa jamaa walikuwa wengi sana, kila kona ya Tehran walikuwepo, hawa walikuwepo kufanya sabotage katika ADs za Iran, missiles na kuua high ranking officers... kiukweli ni jambo la kushangaza Iran bado haikuanguka.
Kitu hatari zaidi kwenye hii vita walikuwa ni hawa agent wa Mossad, US na Israel ipo radhi ikulipe pesa yeyote utekeleze jambo lao.
Ni jambo la kushangaza Iran bado imesimama, sio US wala Israel walitegemea hili.
Kuanzia sasa inabidi wawe wanafanya safisha safisha kila muda..
Israel fanya jambo basi tunapoaKuna nini kwenye Kituo cha Fordow:
Kituo hicho kimejengwa ndani ya mlima, karibu na kijiji cha Fordow (kama kilomita 30 kusini mwa mji wa Qom).
Inakadiriwa kuwa iko karibu mita 80-100 chini ya ardhi, ndani ya ardhi ya mawe.
Wairani waliifafanua kuwa inaweza kustahimili milipuko ya kawaida ya anga - kwa hivyo iko chini ya ardhi na imeimarishwa sana.
hapo awali ilitumika kwa urutubishaji wa uranium hadi 20%.
Baada ya makubaliano ya nyuklia ya 2015 (JCPOA), urutubishaji huko ulisimamishwa, na kituo hicho kikabadilishwa kwa madhumuni ya utafiti - lakini Iran ilianza tena kurutubisha uranium ya kiwango cha juu huko, haswa baada ya Amerika kujiondoa katika makubaliano hayo mnamo 2018.
Kulingana na IAEA, uranium kwa sasa inarutubishwa huko hadi 60% - karibu sana na kiwango cha kiwango cha silaha.
Mawazo ya shambulio:
Kwa sababu ya kina chake na muundo wa milima unaozunguka, ulipuaji wa Fordow unachukuliwa kuwa changamoto sana kiufundi na inahitaji:
- Mabomu ya kulipuka (k.m., GBU-57)
- Mbinu zingine, kama vile kujipenyeza kimwili, mashambulizi ya mtandaoni, au hujuma kutoka ndani.
Sitashangaa ikiwa vikosi vya Israeli vitafikia kituo hicho na kukiangamiza kabisa.