SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Wamerusha drone, but zimekua intercepted
Afu we jamaa mnafiki sana, kama yahudi.. yani wakipigipa Iran shambulizi linakuwa intercepted ila akipiga zayuni linakuwa hited.. nakusoma sana unavyojalibu kumpambania zayuni waweza sema unalipwa wakati ukweli wenzako wanakufa huko tel Aviv.. alafu unajifanya huna upande mnafiki mkubwa..
 
Ina onekana wanazo nyingi sana kwenye haya mashambulizi sijui itakuwaje huko mbeleni wakianza kurusha ground ballistic missiles kama wenzao
Hata Iran pia ndege vita anazo.. kama ilivyokuwa kwa sasa anatumia missiles basi ni itafikia muda nae atarusha ndege vile vile so kama unajiuliza huko mbele itakuwaje juwa itakuwa hivyo hivyo... shida mlidanganywa sana na zayuni wengi wenu kinachomtekea leo mnaona kama ndoto
 
Taja aina za ndege vita za kisasa alizonazo Iran
 
Afu we jamaa mnafiki sana, kama yahudi.. yani wakipigipa Iran shambulizi linakuwa intercepted ila akipiga zayuni linakuwa hited.. nakusoma sana unavyojalibu kumpambania zayuni waweza sema unalipwa wakati ukweli wenzako wanakufa huko tel Aviv.. alafu unajifanya huna upande mnafiki mkubwa..
Punguza hasira kidogo, maana hata ukiwa nazo haziwezi kukusaidia kitu
Majibu ya hoja yako ni haya:
- asubuhi ya leo Iran alishambulia Israel nikaleta kila muda updates huku zikiendana na videos pamoja na picha mbalimbali. Nimeweka videos nyingi sana pitia shambulio la Iran lilivyofanyika kuanzia mwanzo hadi mwisho

- unapaswa kujua sio kila kombora linalorushwa basi hupenya, yapo makombora yanarushwa na kuwa intercepted yote

- drone kuzuiwa ni rahisi ndio maana unaona zinakua intercepted. Hata drone za Israel zinakua intercepted na nimeweka hiyo taarifa angalia vizuri

Mashambulizi ya Israel wanatumia ndege, ndege inawezekana kwa kuiangusha japo ngumu kulingana na aina
 
We jamaa, naomba ujikite kwenye kutupa taarifa. Najua tupo wengi wenye kuzikubali taarifa zako kwa kuwa nyingi zinatupa picha halisi ya hali ilivyo. Mabishano waachie pro Iran na Israel kwani wapo zaidi ya 90% humu wanatosha kabisa kubishana huku kila mmoja akijitahidi kuleta habari za upande wake kushinda.
 
Iran na yeye anaharibu kila mara kutoa taarifa, vita kipindi inaanza Israel alishtukiza, hio nuclear reactor ya Dimona Iran haipaswi kutoa angalizo, waweke vyuma tu... Iran nao wanazingua wakati mwingine... wanatoa taarifa kila muda adui anajipanga..
Acha watoe taarifa bana
Mm napenda sana Waisraeli wa tandale wanatoa taarifa na iran wa buza wanatoa taarifa
Pwagu na pwaguzi
 
We subiri zitakapoanza kupeleka moto ndo utakapojua hapo hapo.. ni bora wewe unajimbanua hujifichi kabisa unawakilisha wayahudi kutoka homboza kuliko huyo mwenzio anaejifanya mchambuzi na hana upande wakati ni pro Jewish..
Sisi tushamjua mlokole wa Mwembe togwa kajipa kazi ngumu !!!

mana ikipigwa Israel yeye anaumia sana ndio mana zikija Habari za kupigwa Israel yeye umuoni kabisa ata kuchangia tu. !!!

Habari zake nikama kuwafariji Walokole wenzio wanaopitia magumu Baada ya Taifa teule kubutuliwa Vibaya mbele ya macho ya Dunia. !!!

ISRAEL IMEKUWA GAZA.. mwaka huu kavamia wahuni kuliko yeye..!!!

watajutia sana Netanyahu anaonekana Usoni kujutia kupigana hiiii Vita kaacha mbwembwe zake. Awakujua kama miji itafanywa ivi.. Netanyahu wameangushwa na Air Defence System zao.. hiii Vita Achomoki..
 
Screenshot_20250620-060547.jpg

View: https://twitter.com/sentdefender/status/1935896286147838201
 
Back
Top Bottom