City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Taarifa isiyo rasmi inasema Israel imepiga thermobaric bomb(vacuum bomb) eneo hilo la Lavizan ambalo inasemekana ayatollah Khamenei huwa anaishi kwenye bunker(underground)
Kwamba Iran imeporomoka(failed state) haina cha kupoteza, unajua maana ya 'haina cha kupoteza'?Wanaweza kupiga hapo wala usibishe, iran hawana tena cha kupoteza.
Hakuna kitu kibaya kama kupigana na mtu ambaye hana Cha kupoteza. Iran ameshaona ni kama ametengwa tena hadi na ndugu zake hivyo hatasita kufanya chochote cha kujitetea hata kama na yeye ataathirika
Subiri pakuche utapata taarifa kamili, unahangaika sanaTaarifa isiyo rasmi inasema Israel imepiga thermobaric bomb(vacuum bomb) eneo hilo la Lavizan ambalo inasemekana ayatollah Khamenei huwa anaishi kwenye bunker(underground)
Ni reactors kwenye stage tofautiMbona Israel kapiga Iran na pia Ira imetangaza watu wahame hapo ndicho kituo kinafuata..
Tunasubiri kukeshauti huko world cupKuna kina sisi wasomaji hatulali pia,wacha jamaa watype
Video footage: Israel muda huu imeendelea kushambulia kwa makombora eneo linalolengwa ni fiber production facility.
View: https://x.com/Osint613/status/1935838095447830917?t=_fbropqOo5CpUUj_3AnjsA&s=19
Ingekua hivyo basi media zote zisingekua zinatangaza habari yoyote kablaSubiri pakuche utapata taarifa kamili, unahangaika sana
Leta update mkuu achana na mijadala wengine tunafuatilia kinacho endelea huko hatuna mpango wa kulala kwa sasa ili mionzi ikianza kuzagaa tutoke nduki kuokoa maisha 🙏Ingekua hivyo basi media zote zisingekua zinatangaza habari yoyote kabla
Au kwa nn kila muda media zinamuuliza trump uamuzi wake ni upi. Kwa nn wasisubiri mpaka atapoamua kutoa uamuz?
Updates zipo nyingi tu Kuna vyanzo kutoka kila angle. Tehran kuna total blackout (giza umeme umekatwa) lakini bado wapo watu wameweza kurekodiLeta update mkuu achana na mijadala wengine tunafuatilia kinacho endelea huko hatuna mpango wa kulala kwa sasa ili mionzi ikianza kuzagaa tutoke nduki kuokoa maisha 🙏
Asante kaka usichoke kutuabarisha tupo pamoja nawe 🙏Updates zipo nyingi tu Kuna vyanzo kutoka kila angle. Tehran kuna total blackout (giza umeme umekatwa) lakini bado wapo watu wameweza kurekodi
Israel imeendelea kushambulia kwa makombora muda huu eneo la Rashi ambapo ni mji wa viwanda Iran
View: https://x.com/clashreport/status/1935845165186351161?t=lN1TI9MEpQ1TVEu55uix7g&s=19
Sababu ni nini mkuu? Au miundo mbinu ya umeme imearibiwa?Ni Kama sehemu kubwa ya nchi ipo gizani