SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Drone za Iran zilizorushwa eneo la dead sea huko Israel muda huu zimekua intercepted
20250620_031543.jpg
 
Kumbe na jamaa wanajibu mapigo pia? Leta habari kaka hakuna kulala hii 🙏
Wamerusha drone, but zimekua intercepted

Hakuna kulala. Mimi ni shabiki wa Oklahoma City Thunder OKC, Leo muda mchache ujao (saa tisa na nusu) tuna mechi nyingine ya fainali vs Pacers, hivyo siwezi kulala sababu nasubiri show ya Shai Gilgous na Jallen Williams wakipambana na kina Tyrese Halliburton na Paskal Siakam
 
Back
Top Bottom