City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Nimeona report moja inasema kuna hatihati dunia inaweza kupata kutokana na mashambulizi ya kwenye nuclear sitesNa mimi nilijua tu kwamba nuclear power reactor hiyo italengwa na makombora ya Iran tu eventually, halafu hipo tu exposed kwenye jangwa LA Negev, hawa jamaa watakuja kutuletea balaa nawambieni, halafu wanajuaje kama Iran hawana bomb la thermonuclear mpaka sasa? Najua Waisrael wanayo,ndio maana hawataki mataifa mengine ya mashariki ya kati wawe nayo,anataka atambe tu yeye.