City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Washa vpn. Mm mbona naona kila kituHuyu aliye funga Twitter alaniwe kabisa
Jaribu kuscreen shot hizo account nikazichek instergram
Maana hapa sipati chochote
Washa vpn. Mm mbona naona kila kituHuyu aliye funga Twitter alaniwe kabisa
Jaribu kuscreen shot hizo account nikazichek instergram
Maana hapa sipati chochote
Video footage: mashambulizi ya makombora ya Israel muda huu ndani ya Tehran.
View: https://x.com/Osint613/status/1935800661666402789?t=jqS6NYFsAxW257s2ffvV1Q&s=19
Kashakufa auUchebe alijificha asiuawe, Trump kamwambia toka nje hatukuui kaja tena kulazimisha tumuue na si kuua ndio jadi yetu tushawatanguliza Hamasa, hezboallah na wahouth kibao kuchakata mbususu ahera
Sina hakika ila ni suala la muda, huyu mbuzi katolikiKashakufa au
Kinacho shangaza zaidi no Trump kurudia rudia maneno haya haya ya Wayahudi eti "Wanajua Ayatollah anapo lala hivyo kumtoa pumzi ni kazi ndogo kwao!! Kwani Ayatollah kawafanya nini Wamerikani hasa tuseme TRUMP???Israel wakitaka kufanya assassination huwa hawasemi, utasikia tu breaknews.
Uliona hivyo ujue ni mikwara mbuzi ya kuwatisha Wairani wasiotishika.
Si wamesema Khomenei ni easy target na wanapajua mpaka anapolala, kama ni kweli kwanini wasimalize kazi mpaka wawa alert Waajemi ili wajipange zaadi kumlinda kiongozi wao?
Video footage: Israel waliposhambulia kwa makombora nuclear reactor iliyopo Arak nchini Iran
View: https://x.com/clashreport/status/1935632475570733327?t=3kh1F5N0KFOFS45BxUS4xg&s=19
Tu update mkuu. juzi Wairan walifanikiwa kudungua ndege tano zikiwemo F-35!!!Kuna mpambano mkali unaendelea muda huu kwenye anga la Tehran kati ya ndege za jeshi za Israel na jeshi la Iran
Huo ni mtego, Israel ikijichanganya itajuta..Hii ya Putin kusema anawanasayansi wake Iran wanafanya kazi. Na hana mpango wa kuwatoa ikaaje?
Mkuu hakuna ndege ya F35 iliyodunguliwa, ni drones.Tu update mkuu. juzi Wairan walifanikiwa kudungua ndege tano zikiwemo F-35!!!