Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,266
- 40,225
Kazi imeanza sasaIsrael inashambulia kwa makombora eneo la district 18 ndani ya Tehran.
Kuna total blackout
Kazi imeanza sasaIsrael inashambulia kwa makombora eneo la district 18 ndani ya Tehran.
Kuna total blackout
Upo nje ya teknolojia. Watu wanaweka ofisi kwenye submarine mwaka mzima ndani ya bahariWatakao fanya situation analysis lazima wajue hali juu/nje ikoje, ili ujue kuna watu lazima wawe nje
Duhh kumbe wapo seriously hawaIran imesema inajiandaa kufanya mashambulizi mengine makubwa ndani ya Israel, inassma Israel watasikia uchungu
Taarifa zisizo rasmi zinadai mkuu wa Kamanda ya jeshi ya Iran AbouRahim Mausavi ameuwawa kwa mashambulizi ya makombora ya Israel
View: https://x.com/IranNewsAgency0/status/1935798123575886057?t=WpCYWoaXshObSHIMLLLUwg&s=19
Ohoooo Israel wa tandale wamechafukwa sasa ngoja tuone iran wa buza wata react vpNi Rasmi Israli imeshambulia kwa makombora eneo ambalo Ayatollah Khamenei alipojificha/alipo.
Haijulikani madhara ni kiasi gani lakini eneo limeshambuliwa kwa makombora
Wale jamaa wanapiga makombora linafika kombora moja tu ila kelele kibaoHayo ndyo mambo niyapendayo chinja ua kesho iran wa buza sijui wataamkaje
Israel wa tandale kafanya jambo
Israel wameshamaliza kazi, wairan wanashangilia
Israel wakitaka kufanya assassination huwa hawasemi, utasikia tu breaknews.Mkuu wote ni waongeaji na watendaji pia. Israel kwenye mission hizi za elimination huwa wako vizuri. Tusubiri
Video footage: mashambulizi ya makombora ya Israel muda huu ndani ya Tehran.
View: https://x.com/Osint613/status/1935800661666402789?t=jqS6NYFsAxW257s2ffvV1Q&s=19
Hakuna vita kuisha watwangane tuMungu ajalie hii vita iishe aisee!!