Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Israel hawana makambi maalumu ya jeshi,Military zones zote tayari?
Yale makambi Yao ni ya muda tuu
Israel hawana makambi maalumu ya jeshi,Military zones zote tayari?
Unaongea ulitokea masjala ya nchi gani hapo mashariki ya katiNuclear facilities nyingi za iran zimepigwa mpk , kumuia ya kimataifa wanawasisi kuvuja kwa miozi.
Mpk sasa zimebaki site kama mbili.
Moja ipo chini ya mlima na nyingine Kuna scientist ya Russia walikuwa wanaunda ,
Ndo hivyo bado
Israel hana kitu cha maana huo ndiyo ukweliMakobaz iran yamecharuka aisee Israel fanya kitu aisee dahh
Ila kumuingiza Mungu kwenye haya mambo ya kijikinga asa kama Mungu ndio huyu utamshauri nini mtu anayeabudu miti na mawe
Mimi naona Kuna something nao wamelenga.
Wanajua iran Nini atafanya ndani ya Israel.
Tangu makombola ya kwanza yake yalivyorushwa air defense system ya Israel ilishindwa kuangusha mengi.
Wanaekewa Nini kitatokea ila inawezekana wanajua Nini wanafanya.
Hajaongea vizur ila ameongea unachotaman kusikia, mbona muda sana Israel aliomba kuzishambulia hizo nuclear na vitu vyote hata sio kushtukizaWell said!
Take five 👊
No no no wacha kujidanganya marekani ni dhaifu kivita kuliko unavyo dhani pia siyo bingwa wa vita ...hata vita ya pili ya dunia mshindi wa ile vita alikuwa mmoja tu MRUSSI wengine walijisingizia tu ushindiMimi naona Kuna something nao wamelenga.
Wanajua iran Nini atafanya ndani ya Israel.
Tangu makombola ya kwanza yake yalivyorushwa air defense system ya Israel ilishindwa kuangusha mengi.
Wanaekewa Nini kitatokea ila inawezekana wanajua Nini wanafanya.
No no no wacha kujidanganya marekani ni dhaifu kivita kuliko unavyo dhani pia siyo bingwa wa vita ...hata vita ya pili ya dunia mshindi wa ile vita alikuwa mmoja tu MRUSSI wengine walijosingizia tu ushindi
Utaonaje ndege angani usiku!?..kuwa makini na aiNyie watu Wairan mbona wabishi halafu kitu hamna uhakika nacho we huoni zile video za jana usiku ndege karibu 20 zinapita juu ya anga mnapambana nazo, hivi unaujua umbali wa kutoka Iraq hadi Tehran
No no no wacha kujidanganya marekani ni dhaifu kivita kuliko unavyo dhani pia siyo bingwa wa vita ...hata vita ya pili ya dunia mshindi wa ile vita alikuwa mmoja tu MRUSSI wengine walijosingizia tu ushindi
Unajua range ya kombora linalorushwa na ndege?Nyie watu Wairan mbona wabishi halafu kitu hamna uhakika nacho we huoni zile video za jana usiku ndege karibu 20 zinapita juu ya anga mnapambana nazo, hivi unaujua umbali wa kutoka Iraq hadi Tehran
hii vita israel kajichanganya aliwadharau iran sana ,now inamgharim may be west wamsaidie kiukweli amechemshaIsrael hawana uchumi wa kuendesha vita , ichi Yao ni ndogo sana , hata uchumi wake ni kawaida tuu. Hawana hata resources,
Hio inajulikana.
Yangu mwaka 1947 , Tangu Israel ilivyoundwa ilisaidiwa kuanzia majengo ya ikulu majengo ya office ya Israel, na bunge , familia ya rothoschild ndo walitoa pesa za majengo. Mpk benk wao ndo walitoa pesa za kuanzisha.
Kama dhaifu , iran mbona anaoigopa sasa.???No no no wacha kujidanganya marekani ni dhaifu kivita kuliko unavyo dhani pia siyo bingwa wa vita ...hata vita ya pili ya dunia mshindi wa ile vita alikuwa mmoja tu MRUSSI wengine walijosingizia tu ushindi
Zimepigwa wakati kila siku zinapambana kutungua makombora,wanarusha gliders na guided missiles toka IraqSema iran naamini air defense system zao asilikia kubwa zitakuwa zimebigwa ,
Maana haiwezekani mtu anarusha ndege kutoka Israel mpk iran ndani ,
Na anazunuka vyovyote anavyotaka.
Mpk sasa.
Naona iran walijikita zaidi kwenye kujenga surface to surface missile,
Wakasahamu kulinda anga.
Jamaa Wana propaganda za hovyo sana 😁Iran wametangaza kuwa mshauri wa Ayatollah aliyekufa last week Sasa amefufuka
Live UpdateFrom the Liveblog of Friday, June 20, 2025
Iranian media claims top Khamenei adviser is actually alive, after reporting last week that he was killed by Israel
View attachment 3376593
marekani ni mzuri wa vita vya upande mmoja ...mbona marekani anaogopa iran isiwe na nuclear na isiwe na uwezo wa makombora ya masafa marefu ..unajua kwa nini?Kama dhaifu , iran mbona anaoigopa sasa.???
Vii sisi huku?Sema iran naamini air defense system zao asilikia kubwa zitakuwa zimebigwa ,
Maana haiwezekani mtu anarusha ndege kutoka Israel mpk iran ndani ,
Na anazunuka vyovyote anavyotaka.
Mpk sasa.
Naona iran walijikita zaidi kwenye kujenga surface to surface missile,
Wakasahamu kulinda anga.
Zina tofautiana ila maximum ni 400km ila Israel huwa anapiga range hadi 2400 km ndani ya Iran halafu mbona video kibao huwa zinaonyesha ndege zikilenga zikiwa juu ya anga la IranUnajua range ya kombora linalorushwa na ndege?