SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kutoka mpakani mwa Iran na Iraq ni km ngapi?
Sio Kila shambulizi ndege zinaingia angani mkuu.
Kilomita zaidi ya 900, ungesema kujaza mafuta sawa ila kuhusu kupiga zinapigwa zikiwa iran, we launchers utazitarget vipi uko Iraq
 
Mbona kaenda hizi sources mnatoa wapi
Na huyu jana kidogo Israel apite naye
Mleta taarifa akatoa taarifa kiufupi.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran ameongea hilo akiwa Geneva Switzerland akihudhuria kikao walichoitisha EU members.
Ila USA hajahusishwa na amesema USA akihusishwa anaweza kukataa mazungumzo.
Iran inaweza kujadiliana na yeyote ila sio USA na Israel.
 
Sababu za kwa nini Israel na mataifa ya magharibi yanaihofia Iran na hawataki iwe na nguvu

Screenshot_20250620-113256.jpg
Screenshot_20250620-113316.jpg
Screenshot_20250620-113327.jpg
Screenshot_20250620-113343.jpg
Screenshot_20250620-113403.jpg
Screenshot_20250620-113432.jpg
Screenshot_20250620-113502.jpg
Screenshot_20250620-113525.jpg


View: https://twitter.com/Sputnik_India/status/1935718712134533296
 
Kwani tatizo liko wapi? Kwa taarifa yako ndege Zach F-35 zinafuata same same science principles zinazo tumika katika urushaji wa ndege, hakuna change kusema sijui hizi ndege zinaundwa: Sijui Merikani Urusi au Uchina!!
Yaani teknolojia inayotumika kutengeneza fighter jets kama f 35 ni the same na ile ya kutengeneza Airbus au boeing na hakuna change yoyote🥲 Dah jamani punguzeni ubishi huu muda unaotumia kubishana usilolijua bora ungetumia kutafuta maarifa juu yake
 
Inaonyesha wazi hujui una hokishabikia!! Kama Iran ana nguvu kuizidi Israel inakuwaje sasa ndege za Israel z inaingia na kutoka bila shida huko Iran?

Nakushangaa kwa kusifia Air defense za Iran ambazo zimeonyesha wazi hazifanyi kazi maana hazijaweza kudungua ndege yoyote ya Israel wala kuonyesha upinzani wowote kwa ndege-vita za Israel. Unachokifanya wewe ni ushabiki uliokuwa na maana yoyote.
Mkuu mbona una makasiriko sana 😄😀😀 karibu sana tela vivu
20250620_114124.jpg
20250620_114127.jpg
 
Mbona kaenda hizi sources mnatoa wapi
Na huyu jana kidogo Israel apite naye
Iranian Foreign Minister: As long as the aggression and invasion do not stop, there is no meaning to talk about dialogue with America

The IRNA news agency quotes Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi as saying: "We have made it clear unequivocally that there is no room for dialogue until the aggression stops, and we have no dialogue with America as a partner in this crime."

According to the report, since the start of the war, the Iranian Foreign Ministry has held frequent contacts with foreign ministers of about 30 countries. The Iranian president has also spoken with several heads of state. "I spoke with the UN Secretary-General and requested an emergency meeting of the Security Council and sent him a letter - as a result, the meeting took place last week. And this week, at the request of China, Russia, Pakistan and Algeria, a group of Security Council members will convene," Araqchi said.

He said that an emergency meeting or discussion on the issue of the attack on Iran will be held on Saturday at the meeting of foreign ministers of the Organization of Islamic Cooperation (in Turkey).

"To those senior officials in various countries who, for good reasons, call for a return to diplomacy, I say – we were already in the midst of talks. Where exactly do you suggest we return to?" Araqchi added.

(NTD)
 
Huo ndio ukweli, kwa sasa Israeli hakuna tena sehemu salama, Irani imeonyesha uwezo wa kulenga mahali popote pale ndani ya Israeli.
Leo tarehe 20/06 aubuhi tumeona taget kituo cha wanasayansi kimeharibiwa vibaya sn
wananchi wa Israel wanamuomba Kiongozi wao Netanyau aachane na vita.
Acha Porojo hizo habari wewe umezitoa wapi hebu tupe hiyo link au Source ya hiyo habari nijuavyo mimi Iran amerusha kombola huko Bersheva na kombola hilo likaangukia sehemu ya wazi na kuunguza magari
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    3.3 MB
  • IMG_3385.jpeg
    IMG_3385.jpeg
    249.2 KB · Views: 16
Iranian Foreign Minister: As long as the aggression and invasion do not stop, there is no meaning to talk about dialogue with America

The IRNA news agency quotes Iranian Foreign Minister Abbas Araqchi as saying: "We have made it clear unequivocally that there is no room for dialogue until the aggression stops, and we have no dialogue with America as a partner in this crime."

According to the report, since the start of the war, the Iranian Foreign Ministry has held frequent contacts with foreign ministers of about 30 countries. The Iranian president has also spoken with several heads of state. "I spoke with the UN Secretary-General and requested an emergency meeting of the Security Council and sent him a letter - as a result, the meeting took place last week. And this week, at the request of China, Russia, Pakistan and Algeria, a group of Security Council members will convene," Araqchi said.

He said that an emergency meeting or discussion on the issue of the attack on Iran will be held on Saturday at the meeting of foreign ministers of the Organization of Islamic Cooperation (in Turkey).

"To those senior officials in various countries who, for good reasons, call for a return to diplomacy, I say – we were already in the midst of talks. Where exactly do you suggest we return to?" Araqchi added.

(NTD)
Araghchi: Iran ‘not prepared for talks’ while Israel’s attacks continue

Iranian Foreign Minister Abbas Araghchi has told state television that he is not prepared for talks with anyone while Israeli attacks continue, ahead of a scheduled meeting with European counterparts in Geneva.
Al Jazeera
 
Back
Top Bottom