Nilikua naangalia mwandishi wa Habari anachambua, Weizmann institute pekee Laboratory 45 zimepigwa, kila laboratory ina cost $50M kujenga na $50M ku Equip vifaa hapo bado project na sample mbalimbali
View attachment 3376654
View attachment 3376655View attachment 3376657View attachment 3376658
So unaongelea Trilioni angalau 5 mpaka Trilioni zaidi ya 10 ya uharibifu kwa kombora moja tu.
Sio tu Hilo according to Analyst haya makombora mapya yaa impact radius ya mita 100, kama jana watu walivyokuwa wanasema Hospitali haiku pigwa ila ilikua ni impact tu.
Leo asubuhi walivyopiga limelipuliwa jengo moja tu ila mtaa mzima haufai watu 1000 wamekosa pa kukaa inabidi wawe evacuated.
Angalia hii impact ya kombora
View attachment 3376671
Wenzako wameyatimba na kama kutakuwa na mazungumzo Iran itakua na upper hand.