SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Back again, get ready for the updates
Sidhani kama unayo bado ila kuna ile video umetuma jana night inaonyesha ndege za kivita za lastborn Israel zinapita kwa juu ya anga la Iran huku wanajaribu kuzishambulia
Ila hawa wanaodhan Israel anashambulia tokea Iraq waache ubishi au wapunguze maana kuacha hawawezi
 
Sasa viongozi wa EU wao wanaona vita iishe ndio maana wameitisha kikao na wizara ya nje ya Iran Geneva.
Ila kwa USA iko tofauti.
Ndio maana wanasema wanahofia USA asije kuwaingilia kimazungumzo.
Wametoka kulieleza sasa hivi hapa Al Jazeera.
Wambea tu hao EU hawana lolote. Wala hawana jipya. Hakuna tofauti kati ya EU na USA katika kuwasaidia Waisrael. Na wao wanajidai kuingilia kusuluhisha only because wanaona wazi Israel inavyochakazwa na imezidiwa. Lakini kama Iran ndio ingekuwa inachapika kamwe wasingehangaika kusuluhisha. Mbona pale Gaza hawasuluhishi sbb Israel haijapata madhara kutoka Gaza
 

Attachments

  • FB_IMG_1750415579645.jpg
    FB_IMG_1750415579645.jpg
    63.1 KB · Views: 18
Ali Khamenei kaenda msikitini
Israel fanya jambo basi tunadhalilika ujue kwa kobaz wa bunju
 
Hii aibu wanayoipata Israel na US inaburudisha sana, Iran wameushangaza ulimwengu.

Kwa jinsi mambo yalivyo Israel wanajuta kumuua yule Mkuu wa Majeshi na wasaidizi wake maana yule anaonekana ndiye aliyekuwa anazuia haya mashambulizi mazito, hawa walioko hivi sasa ni vichaa waliochafukwa!
Ni kweli kabisa Iran imeishangaza dunia kwa Makamanda wake waandamizi 30+ kuuwawa kijinga kwa siku moja na wanasayansi wake 60+ utafikiri hawana ulinzi. Anga lote la Tehran ku ili kiwa na Israel ndege-vita z inaingia na kutoka bila shida hii inashangaza sana sana!!!
 
Back
Top Bottom