SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Maandamano makubwa Baghdad kusupport Iran
20250620_141633.jpg
 
🔻 Vifo Iran​

  • Israel imefanya mashambulizi makubwa dhidi ya vituo vya kijeshi na nyuklia nchini Iran, ikiifanya vifo vya jumla kuwa karibu 639, pamoja na majeruhi 1,329, kati yao 263 raia na 154 wanajeshi time.com.
  • Ripoti nyingine zinaorodhesha zaidi ya 650 vifo, ikiwa ni pamoja na zaidi ya 2,000 majeruhi .
  • Mamlaka tofauti za haki za binadamu pia zinataja takribani 657 vifo kutokana na mashambulizi ya Israeli .

🔻 Vifo Israel​

  • Iran imefanyia mashambulizi ya makombora maeneo kama Soroka Hospital (Beersheba), Tel Aviv, Haifa, Ramat Gan, Bat Yam na Rehovot.
  • Jumla ya watu waliofariki ni takriban 24 vifo, huku majeruhi ikiwa ni karibu 592–600 en.wikipedia.org+5time.com+5theguardian.com+5.
  • Mashambulizi ya awali yalisababisha vifo vidogo vilivyopimwa katika matukio maalum (1–9 vifo kwa kila shambulio) .
 
Al Jazeera pia wamesema japo picha za Iran nazo kuzipata mtihani japo mara zote analalamikiwa Israel hatoa taarifa
Kupata taarifa kwa iran ni ngumu sana labda serikali iseme.
maeneo mengi ya iran internet hakuna.
Ni ngumu sana kupata information kutoka iran.
Ndo maana unaona information nyingi zipo upande wa Israel.
Ni kama Ile vita vya Ukraine na irusi..
Ilifika kipindi tukaamini urusi kashindwa vita 😁😁😁
 
🔻 Vifo Iran​

  • Israel imefanya mashambulizi makubwa dhidi ya vituo vya kijeshi na nyuklia nchini Iran, ikiifanya vifo vya jumla kuwa karibu 639, pamoja na majeruhi 1,329, kati yao 263 raia na 154 wanajeshi time.com.
  • Ripoti nyingine zinaorodhesha zaidi ya 650 vifo, ikiwa ni pamoja na zaidi ya 2,000 majeruhi .
  • Mamlaka tofauti za haki za binadamu pia zinataja takribani 657 vifo kutokana na mashambulizi ya Israeli .

🔻 Vifo Israel​

  • Iran imefanyia mashambulizi ya makombora maeneo kama Soroka Hospital (Beersheba), Tel Aviv, Haifa, Ramat Gan, Bat Yam na Rehovot.
  • Jumla ya watu waliofariki ni takriban 24 vifo, huku majeruhi ikiwa ni karibu 592–600 en.wikipedia.org+5time.com+5theguardian.com+5.
  • Mashambulizi ya awali yalisababisha vifo vidogo vilivyopimwa katika matukio maalum (1–9 vifo kwa kila shambulio) .
Sema serikali ya Israel nao sometimes wanaficha vitu.
 
Israel inashambulia kwa makombora muda huu katikakati na magharibi mwa Iran, ikilenga miundombinu ya kijeshi
Unajua hapa watu hawaelewi kitu kimoja,
Lengo la Israel ni kuhalibi mpango wa nuclear wa iran.
Na hio watafanikiwa kwa kuwamaliza watu wa ishawishi ndani ya iran. Kumaliza viwanda jeshina nuclear site.
Pamoja na kumaliza nuclear scientific,
Lkn pia ni kulizoofisha jeshi la iran.

Sasa watu wanafikili jeshi unalizoofishwa kwa kuwa wanajeshi.
Wanasahau kwamba iran ina wanawatu wengi sana.

Jeshi unalizoofisha kwa kualibu uchumi wa nchi maana wao iran ni mafuta na gesi.
Kuwamaliza watu wenye ishawishi ndani ya jeshi.
Kuharibi miundombinu ya jeshi ikiwemo viwanda vyao vya kutenegeza siraha Na missile.

Na wanasanyi wa zana za kivita , hata vyuo vya science ya jeshi navyo.

Sasa kwa upande wa iran kupiga Israel hatujajua lengo lao ni nini.
Maana tunaona hospital, apartment, maeneo ya wazi ndo yanapigwa.
 
🔻 Vifo Iran​

  • Israel imefanya mashambulizi makubwa dhidi ya vituo vya kijeshi na nyuklia nchini Iran, ikiifanya vifo vya jumla kuwa karibu 639, pamoja na majeruhi 1,329, kati yao 263 raia na 154 wanajeshi time.com.
  • Ripoti nyingine zinaorodhesha zaidi ya 650 vifo, ikiwa ni pamoja na zaidi ya 2,000 majeruhi .
  • Mamlaka tofauti za haki za binadamu pia zinataja takribani 657 vifo kutokana na mashambulizi ya Israeli .

🔻 Vifo Israel​

  • Iran imefanyia mashambulizi ya makombora maeneo kama Soroka Hospital (Beersheba), Tel Aviv, Haifa, Ramat Gan, Bat Yam na Rehovot.
  • Jumla ya watu waliofariki ni takriban 24 vifo, huku majeruhi ikiwa ni karibu 592–600 en.wikipedia.org+5time.com+5theguardian.com+5.
  • Mashambulizi ya awali yalisababisha vifo vidogo vilivyopimwa katika matukio maalum (1–9 vifo kwa kila shambulio) .
Kumbe pale hospitali walipopiga kobaz iran hakuna vifo kweli Israel wa tandale nyie taifa teule
 
Mkuu sio kila mtu hapa jukwaani hufanya mambo kishabiki...
nalazimika kukuambia haya ili uanze kutumia ubongo wako vyema.
usifanye tuone waislamu/wakristo wote hawana akili kisa ujinga wako mwenyewe
 
Wambea tu hao EU hawana lolote. Wala hawana jipya. Hakuna tofauti kati ya EU na USA katika kuwasaidia Waisrael. Na wao wanajidai kuingilia kusuluhisha only because wanaona wazi Israel inavyochakazwa na imezidiwa. Lakini kama Iran ndio ingekuwa inachapika kamwe wasingehangaika kusuluhisha. Mbona pale Gaza hawasuluhishi sbb Israel haijapata madhara kutoka Gaza

View: https://youtu.be/7Q7uR5NsTAo?t=7
 
Back
Top Bottom