Ngoja tusubiriUnajua hapa watu hawaelewi kitu kimoja,
Lengo la Israel ni kuhalibi mpango wa nuclear wa iran.
Na hio watafanikiwa kwa kuwamaliza watu wa ishawishi ndani ya iran. Kumaliza viwanda jeshina nuclear site.
Pamoja na kumaliza nuclear scientific,
Lkn pia ni kulizoofisha jeshi la iran.
Sasa watu wanafikili jeshi unalizoofishwa kwa kuwa wanajeshi.
Wanasahau kwamba iran ina wanawatu wengi sana.
Jeshi unalizoofisha kwa kualibu uchumi wa nchi maana wao iran ni mafuta na gesi.
Kuwamaliza watu wenye ishawishi ndani ya jeshi.
Kuharibi miundombinu ya jeshi ikiwemo viwanda vyao vya kutenegeza siraha Na missile.
Na wanasanyi wa zana za kivita , hata vyuo vya science ya jeshi navyo.
Sasa kwa upande wa iran kupiga Israel hatujajua lengo lao ni nini.
Maana tunaona hospital, apartment, maeneo ya wazi ndo yanapigwa.
Kwangu me ni possible sababu taarifa huwa zinatumwa karibu dakika 15 before makombora hayajafika na wengi huwa wako kwenye shelter zaoMkuu watu 24 tu Mkuu.
Trust me Bro.😂
Kwahyo Iraq maandamano ya kufurahia kobaz mwenzao
Ten of thousands fleeing TeheranAlert🚨 Raia wameonywa waondoke Haifa, haifa inaenda kufanywa kifusi
Sasa hivi muisrael akikutwa anatazama aljazeera,jelaSema serikali ya Israel nao sometimes wanaficha vitu.
Usisahau pia Sejili ni kiboko yaoJana watu walikua wanatest TU, Israel mnairahishia kazi Irani ya kufanya majaribio yake badala ya kufanya baharini punching Yao ni Tel avivi mpaka wamalize hizo latest Manin
*****************
🚀 FATTAH-1 - "The Conqueror"
Tonight, the IRGC announced the use of the first-generation Fattah missile for the first time, using it to strike "Tel Aviv."
In the attached video, the maneuverable hypersonic missiles can be seen cutting through 12 IOF interceptors without issue before striking its intended target.
The rocket is capable of maneuvering both inside and outside the atmosphere. With a range of 1400 km and a speed of Mach 13-15, it takes just 5 minutes to reach "Tel Aviv."
The hyper-advanced two-stage missile can change its course multiple times on the way to the target, all while it blocks enemy radar waves.
"Tonight, the powerful, highly maneuverable Fattah missiles, piercing the missile-defense shield, shook the refuge of the zionist cowards time and again and sent Iran’s message of might to 'Tel Aviv’s' warmongering ally, lost in hollow dreams and delusions."
Unveiled for the first time in June 2023 (followed by Fattah-2 in November), there is no anti-missile system in the world that has stopped it.
Ni Kweli Iran kwa sasa hawezi kurusha makombola mengi sababu kadoda, Launcher za makombola hayo mengi yameangamizwa na Jeshi la Israel huko Iran hivyo Iran haina uwezo tena wa kurusha makombola 300 au 200 kwa siku moja.
Iran genge la wahuni Israel fanya kitu bana makobaz alooo mmepata wap nguvu hyo