SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Moshi mzito kutokana na mashambulizi ya makombora ya Iran ndani ya Israel muda mchache uliopita
20250620_161744.jpg
 
Unajua hapa watu hawaelewi kitu kimoja,
Lengo la Israel ni kuhalibi mpango wa nuclear wa iran.
Na hio watafanikiwa kwa kuwamaliza watu wa ishawishi ndani ya iran. Kumaliza viwanda jeshina nuclear site.
Pamoja na kumaliza nuclear scientific,
Lkn pia ni kulizoofisha jeshi la iran.

Sasa watu wanafikili jeshi unalizoofishwa kwa kuwa wanajeshi.
Wanasahau kwamba iran ina wanawatu wengi sana.

Jeshi unalizoofisha kwa kualibu uchumi wa nchi maana wao iran ni mafuta na gesi.
Kuwamaliza watu wenye ishawishi ndani ya jeshi.
Kuharibi miundombinu ya jeshi ikiwemo viwanda vyao vya kutenegeza siraha Na missile.

Na wanasanyi wa zana za kivita , hata vyuo vya science ya jeshi navyo.

Sasa kwa upande wa iran kupiga Israel hatujajua lengo lao ni nini.
Maana tunaona hospital, apartment, maeneo ya wazi ndo yanapigwa.
Juzi Putin kasema ana wanasayansi sijui 100 Iran kwenye Vinu vya Nyuklia ushamsikia hata mmoja? Hata hao Wanaouliwa wengi ni viongozi wa hao wanasayansi ambao wanajulikana public.

Iran kwa mwaka ana produce wanasayansi 300,000 - 400,000, yes wanazidiana uwezo na experience ila kuua wanasayansi hata 1000 sana sana ita delay tu kidogo ila haiwezi ku stop advancement ya iran.
 
Iran kwa mwaka anaproduce wanasayansi 300000 Hadi 400000
Laki tstu hadi laki 4 kwa mwaka?? Maana yake kwa miaka 10 wameproduce wanasayansi around million 4?

Chumvi hii mkuu
 
Iran kwa mwaka anaproduce wanasayansi 300000 Hadi 400000
Laki tstu hadi laki 4 kwa mwaka?? Maana yake kwa miaka 10 wameproduce wanasayansi around million 4?

Chumvi hii mkuu
Boss Iran ni nchi ya tatu Duniani ku produce Mainjinia, Nyuma ya Urusi ambayo ni ya kwanza na Usa ya pili.
3559.jpeg

So hapo Mainjinia pekee ni 233,000 bado wakemia, watu wa IT etc.

Na hao ni Mainjinia ambao wapo Iran, hata nje ya Iran wana wanasayansi wakubwa sana, hapo Usa tu project kubwa kubwa za Nasa utaona leading Engineer ni Wairan, mpaka Project ya kupeleka kifaa Mars ni Muiran kafanikisha.

Fanya utafiti wako mwenyewe Iran wana graduate wangapi wa Stem kwa mwaka.

Hutengenezi kombora ambalo linapita defensive system zaidi ya 10 toka mataifa makubwa makubwa kitechnology bila kuwa na top cream za wanasayansi.
 
Iran kwa mwaka anaproduce wanasayansi 300000 Hadi 400000
Laki tstu hadi laki 4 kwa mwaka?? Maana yake kwa miaka 10 wameproduce wanasayansi around million 4?

Chumvi hii mkuu
Sasa kuna ugumu gani ikiwa una vyuo vya kutosha!?..imagine veta zote,vyuo vya Kati vyote na university zote tz zitoe wanasayansi kwa mwaka,watatoa wangapi?
 
Mashambulizi hayafanywi muda wote, makombora yatayofanikiwa kutua na impact kutokea basi baada ya muda warudi hurudi mtaani ndio maana kwenye hizo video footage unaona baada ya shambulizi watu wameendelea na shughuli zao zingine
Wnarudi mtaani kufanya nini wakati hawakai hata masaa 12 wanakimbilia kwenye mahandaki au wanarudi kuvuta hewa kidogo
 
Back
Top Bottom