Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 1,113
- 1,688
Wanasanyansi wa Nini?300,000 - 400,000
Maana kwetu huku hata dakitari wa binadamu nae anasoma sayansi.
Fafanua hao wanasanyansi wa Nini mkuu
Wanasanyansi wa Nini?300,000 - 400,000
Kuna comment yangu itafute nimezumza kuhusu ilo Rudi nyuma utaionaJuzi Putin kasema ana wanasayansi sijui 100 Iran kwenye Vinu vya Nyuklia
Wazee wa light injuriesAsa mfano haya makombora ya jioni hii yameua wangapi pale yalipopiga
Sayansi ni pana,kuanzia kada ya afya,uhandisi,mazingira mpaka mawasilianoWanasanyansi wa Nini?
Maana kwetu huku hata dakitari wa binadamu nae anasoma sayansi.
Fafanua hao wanasanyansi wa Nini mkuu
Ndo maana nimemueleza wanasanyi wa Nini?Iran kwa mwaka anaproduce wanasayansi 300000 Hadi 400000
Laki tstu hadi laki 4 kwa mwaka?? Maana yake kwa miaka 10 wameproduce wanasayansi around million 4?
Chumvi hii mkuu
Asa we huoni ata yalipoangukiaWazee wa light injuries
Ndo maana nimekwambia afafanue.Sayansi ni pana,kuanzia kada ya afya,uhandisi,mazingira mpaka mawasiliano
Labda jamaa anahesabu hata walimu wa sayansi wa shule ya msingiNdo maana nimemueleza wanasanyi wa Nini?
Maana kupata wanasayansi wa nuclear na atomic ,
Ni ngumu sana na duniani wataaramu wa maswala hayo ni wachachesana.
North Korea yenyewe kutengeneza nuclear bom walitumia wanasanyansi wa Soviet. Hawakuwa wanasayansi wao.
We umeona yameangukia wapi?..Asa we huoni ata yalipoangukia
Wala hakuna madhara yoyote wanayopata.Asa mfano haya makombora ya jioni hii yameua wangapi pale yalipopiga
Kaangalie Al Jazeera wameonyeshaWe umeona yameangukia wapi?..
Wanaolengwa ni nuclear scientist. Au kila scientist ni nuclear scientist?Boss Iran ni nchi ya tatu Duniani ku produce Mainjinia, Nyuma ya Urusi ambayo ni ya kwanza na Usa ya pili.
View attachment 3376923
So hapo Mainjinia pekee ni 233,000 bado wakemia, watu wa IT etc.
Na hao ni Mainjinia ambao wapo Iran, hata nje ya Iran wana wanasayansi wakubwa sana, hapo Usa tu project kubwa kubwa za Nasa utaona leading Engineer ni Wairan, mpaka Project ya kupeleka kifaa Mars ni Muiran kafanikisha.
Fanya utafiti wako mwenyewe Iran wana graduate wangapi wa Stem kwa mwaka.
Hutengenezi kombora ambalo linapita defensive system zaidi ya 10 toka mataifa makubwa makubwa kitechnology bila kuwa na top cream za wanasayansi.
Labda hioLabda jamaa anahesabu hata walimu wa sayansi wa shule ya msingi
Unaogopa sana nuclear, nuclear siyo sayansi ya maana kama unavyodhani,makamu wa rais dr gharib Bilal alisomea hiyo,hapo udsm nawajua watu wamesomea hiyo na wala hawakutisha a levelNdo maana nimekwambia afafanue.
Anafikili kupata wanasayansi wa nuclear ni kazi rahisi.
Ni kweli chief kupata wataaramu ni ngumu sanaNdo maana nimemueleza wanasanyi wa Nini?
Maana kupata wanasayansi wa nuclear na atomic ,
Ni ngumu sana na duniani wataaramu wa maswala hayo ni wachachesana.
North Korea yenyewe kutengeneza nuclear bom walitumia wanasanyansi wa Soviet. Hawakuwa wanasayansi wao.
Mhandisi ni msomi wa sanaaWanaolengwa ni nuclear scientist. Au lula scientist ni nuclear scientist?
Pia mkuu Tanzania kwa mwaka Kuna gradutes zaidi ya 2500 kutoka engineering courses
kwa tafsiri yako wewe Tanzania kila Wala tunaproduce wanasayansi zaidi ya 4000??
Sio kila gradute wa engineering anaqualfy kuitwa scientist
Idadi ya scientists kwa Iran ni 56000
View attachment 3376960
Kama unaona ni rahisi peleka watoto wako wakasome.Unaogopa sana nuclear, nuclear siyo sayansi ya maana kama unavyodhani,makamu wa rais dr gharib Bilal alisomea hiyo,hapo udsm nawajua watu wamesomea hiyo na wala hawakutisha a level
Kwanza anaamini kila gradute wa engineet ni scientist.Ndo maana nimemueleza wanasanyi wa Nini?
Maana kupata wanasayansi wa nuclear na atomic ,
Ni ngumu sana na duniani wataaramu wa maswala hayo ni wachachesana.
North Korea yenyewe kutengeneza nuclear bom walitumia wanasanyansi wa Soviet. Hawakuwa wanasayansi wao.
Hilo sasa mueleze huyo aliyesema kila gradute wa engineering ni scientistMhandisi ni msomi wa sanaa
Mimi nimeona mtandaoni ripoti zikisema yametua telaviv,haifa,negev nk..jengo la wizara ya mambo ya ndani liko mji gani? Maana chuma kimetua jiran, pia jiran na bunge knesetKaangalie Al Jazeera wameonyesha