SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ila iran sasa naona kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja naona wameshajua ni upotevu na mali tuuu.

Maana unarusha mengi mengine wanaanguka barabarani , sasa haisaidii.
We unadhani iran mjinga kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja? Wanafanya hivyo makusudi ili kuzichanganya na kuoutnumber israel intercepters...akirusha machache ni rahisi kuwa intercepted na mifumo ya ulinzi
 
Israel wamesema wanawazuia ili wasitengeze ,
Yeye aseme kama nani? Chanzo cha Iraq kupigwa ni Netanyahu. Aliwashawishi na kuwaaminisha US Iraq wana silaha za Nuclear. Halafu hizi vita vilipangwa miaka zaidi ya 20 iliyopita, US na Netanyahu waliplan vita na nchi saba Iraq,Syria,Lebanon, Sudan,Yemen, Libya na sasa ni Iran.Msikilize 4 star General wa US aliyekuwa akiongoza vikosi vya NATO.
Hamna sababu ya msingi bali watu wanatetea maslahi yao kimabavu na akitoka Iran atakaye fuatia ni Pakistan.
 
Israel imeendelea kushambulia kwa makombora eneo la ahvaz muda mchache uliopita
20250620_173912.jpg
 

🔻 Vifo Iran​


  • Israel imefanya mashambulizi makubwa dhidi ya vituo vya kijeshi na nyuklia nchini Iran, ikiifanya vifo vya jumla kuwa karibu 639, pamoja na majeruhi 1,329, kati yao 263 raia na 154 wanajeshi time.com.
  • Ripoti nyingine zinaorodhesha zaidi ya 650 vifo, ikiwa ni pamoja na zaidi ya 2,000 majeruhi .
  • Mamlaka tofauti za haki za binadamu pia zinataja takribani 657 vifo kutokana na mashambulizi ya Israeli .



🔻 Vifo Israel​


  • Iran imefanyia mashambulizi ya makombora maeneo kama Soroka Hospital (Beersheba), Tel Aviv, Haifa, Ramat Gan, Bat Yam na Rehovot.
  • Jumla ya watu waliofariki ni takriban 24 vifo, huku majeruhi ikiwa ni karibu 592–600 en.wikipedia.org+5time.com+5theguardian.com+5.
  • Mashambulizi ya awali yalisababisha vifo vidogo vilivyopimwa katika matukio maalum (1–9 vifo kwa kila shambulio) .
Chief kipigo Cha Jana kimeondoka na watu 600+
 
Back
Top Bottom