Unazingua ujue 😀😀😀😀
Hawa Jamaa wasingekuwa na vikwazo wangekuwa ndio Russia au Korea Kaskazimi wa Middle East.
View: https://www.instagram.com/p/DLFtJ6qoNnS/?igsh=eWRmaHNkeXEzODV2
Soma vizuri hio description yako, huyo ni scientist ambaye yupo kwenye Institution za kielimu na ku produce paper ambazo wanasayansi wengine wanafanya citation, kwetu huku tunaongelea watu level ya Madokta, professor etc. Mtu hawezi kuwa scientist bila kuproduce research yake mwenyewe? Hii definition ya scientist toka science CouncilWanaolengwa ni nuclear scientist. Au kila scientist ni nuclear scientist?
Pia mkuu Tanzania kwa mwaka Kuna gradutes zaidi ya 2500 kutoka engineering courses
kwa tafsiri yako wewe Tanzania kila Wala tunaproduce wanasayansi zaidi ya 4000??
Sio kila gradute wa engineering anaqualfy kuitwa scientist
Idadi ya scientists kwa Iran ni 56000
View attachment 3376960
sciencecouncil.org
Hawa Jamaa wasingekuwa na vikwazo wangekuwa ndio Russia au Korea Kaskazimi wa Middle East.
View: https://www.instagram.com/p/DLFtJ6qoNnS/?igsh=eWRmaHNkeXEzODV2
Wayahudi wa mbagala wao wanasemaje kwani?Ndiyo maana kwenye majadiliano huko Geneva,eti ujerumani imeongeza na project makombora nayo idhibitiwe kama nuclear ya Iran,wameona balaa
Spy rings za mossad zinatumia internet kurusha droneKhee kobaz wanazima Internet
Atoe wapi ballisticsIsrael vp aisee piga bomu Tehran hapo
Kwamba Israel hana ballistics seriousAtoe wapi ballistics
Unaweza kuniwekea orodha ya hao watuNi kweli kabisa Iran imeishangaza dunia kwa Makamanda wake waandamizi 30+ kuuwawa kijinga kwa siku moja na wanasayansi wake 60+ utafikiri hawana ulinzi. Anga lote la Tehran ku ili kiwa na Israel ndege-vita z inaingia na kutoka bila shida hii inashangaza sana sana!!!
Azitoe wapi sasa labda kama kapewa na US ,Kwamba Israel hana ballistics serious
Usual ni Stem kiujumla tunasema Kwa maana ya Science, Technology, Engineer na mathematics kwa mwaka Iran wana Graduate between hio namba.Wanasanyansi wa Nini?
Maana kwetu huku hata dakitari wa binadamu nae anasoma sayansi.
Fafanua hao wanasanyansi wa Nini mkuu
Bila china mbona kama si kweliUsual ni Stem kiujumla tunasema Kwa maana ya Science, Technology, Engineer na mathematics kwa mwaka Iran wana Graduate between hio namba.
Kati ya hao Asilimia kubwa ni Engineer kama nilivyoweka Screenshot juu
View attachment 3377002
Watu 233,000 wana Graduate kama Engineer, manufacturing na Construction hawa ndio wengi wanatengeneza Nyumba, Viwanda, hizo missile etc.
Ulichojibu hakieleweki. Kwanza nililueleza kuwa wanaokua targeted suo scientists wote bali ni nuclear scientists. Wewe uliandika as if scientists wote ni nuclet scientistsSoma vizuri hio description yako, huyo ni scientist ambaye yupo kwenye Institution za kielimu na ku produce paper ambazo wanasayansi wengine wanafanya citation, kwetu huku tunaongelea watu level ya Madokta, professor etc. Mtu hawezi kuwa scientist bila kuproduce research yake mwenyewe? Hii definition ya scientist toka science Council
![]()
What is science?
Our definition of science Science is the pursuit and application of knowledge and understanding of the natural and social world following a systematic methodology based on evidence. Scientific methodology includes the following: Get professionally registered with the Science Council today: Why...sciencecouncil.org
Nyuklia ishagunduliwa tayari, yes unaweza uka ongeza ujuzi hapa na pale ila wanasayansi wengi humo wanatumia research ambazo zimeshafanywa tayari.
Sasa uoni ni hasara ,We unadhani iran mjinga kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja? Wanafanya hivyo makusudi ili kuzichanganya na kuoutnumber israel intercepters...akirusha machache ni rahisi kuwa intercepted na mifumo ya ulinzi
Ishu ya Iraq walikuwa wanafuata resources, mbona inajulikana.Yeye aseme kama nani? Chanzo cha Iraq kupigwa ni Netanyahu. Aliwashawishi na kuwaaminisha US Iraq wana silaha za Nuclear. Halafu hizi vita vilipangwa miaka zaidi ya 20 iliyopita, US na Netanyahu waliplan vita na nchi saba Iraq,Syria,Lebanon, Sudan,Yemen, Libya na sasa ni Iran.Msikilize 4 star General wa US aliyekuwa akiongoza vikosi vya NATO.
Hamna sababu ya msingi bali watu wanatetea maslahi yao kimabavu na akitoka Iran atakaye fuatia ni Pakistan.