SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Ulichojibu hakieleweki. Kwanza nililueleza kuwa wanaokua targeted suo scientists wote bali ni nuclear scientists. Wewe uliandika as if scientists wote ni nuclet scientists

Pili ukasema wanaograduate engineering wote ni scientists, kitu ambacho sio kweli
So lila engineer ni scientist
Wasome hapa vizuri Boston University Department of Engineering wanakueleza utofauti wa Engineering na scientists

Definition ya sayansi siku zote ni controversial, fuata definition unayoamini mwenyewe ila mimi naamini hiyo ya Science Council, sio lazima ufanye research na kui publish kutambulika kama mwanasayansi, mtu yoyote anaefuata njia za Kisayansi hata kama Research haja fanya yeye ni mwanasayansi including Engineer.

Discussion nzuri hii hapa unaweza kusoma

View: https://www.reddit.com/r/AskScienceDiscussion/comments/67v7u7/what_does_it_mean_to_be_an_actual_scientist_and/

For the sake of discussion tuseme hao sio wanasayansi, but still ndio hao hao wanatengeneza hizo missile, nyuklia engineer.

Iran Wana Vyuo 26 vya Nyuklia ambavyo ni renowned duniani

So imagine mwenyewe Vyuo 26 hata kama graduates ni kidogo 20-30 still Tunaongelea maelfu ya graduates
 
Ndege kadhaa za mizigo zilizobeba silaha na vifaa vya kijeshi kwa ajili ya jeshi la IDF zilitua Israeli jana, Wizara ya Ulinzi imesema.

Wizara inasema utoaji huo ni "sehemu ya juhudi za kuimarisha mwendelezo wa uendeshaji na kusaidia mahitaji yote ya IDF, kwa ajili ya kufikia malengo ya vita na kuboresha utayari na hifadhi."

Tangu kuanza kwa operesheni ya Israel dhidi ya Iran, ndege 14 za mizigo zenye vifaa vya IDF zimetua Israel, wizara hiyo imesema, zikiungana pamoja na ndege nyengine 800 ambao ziliwasili tangu kuanza kwa vita.

Idadi kubwa ya ndege hizo zimetoka Marekani.

Chanzo:
 
Attachments

  • 1750435498966.jpg
    1750435498966.jpg
    269.1 KB · Views: 17
Definition ya sayansi siku zote ni controversial, fuata definition unayoamini mwenyewe ila mimi naamini hiyo ya Science Council, sio lazima ufanye research na kui publish kutambulika kama mwanasayansi, mtu yoyote anaefuata njia za Kisayansi hata kama Research haja fanya yeye ni mwanasayansi including Engineer.

Discussion nzuri hii hapa unaweza kusoma

View: https://www.reddit.com/r/AskScienceDiscussion/comments/67v7u7/what_does_it_mean_to_be_an_actual_scientist_and/

For the sake of discussion tuseme hao sio wanasayansi, but still ndio hao hao wanatengeneza hizo missile, nyuklia engineer.

Iran Wana Vyuo 26 vya Nyuklia ambavyo ni renowned duniani

So imagine mwenyewe Vyuo 26 hata kama graduates ni kidogo 20-30 still Tunaongelea maelfu ya graduates

Nikishaona mtu anassma "fata unachoaminj na Mimi nifate nachoamini", basi huwa najua hana tena maana ya kwenye kile alikisema

Hatukubishana kuwa Iran Ina vinu vingapi na kina nani wanaovitengeneza. Kilichofanya nishtukr ni pale ulipotaja number of scientists, ambapo kwa mtu mwenye akili timamu lazima angeshtuka
 
Mkuu kimbuka tunazungumzia science ya kijeshi hasa atomic na nuclear , ukija kwa ujumla kwa.
NOTE.
Kwa sasa china na India ndo wanaongoza kwa science.
Kimbuka hapo chini wamesema no data for china na India.
Pia hio ni ya 2015 wameandika hapo chini.
Ni ya 10 years ago.

Kwa data za sasa.
China, India , USA , ndo wanaongoza
Na mataifa mengine.
Tafuta current data.
Nafahamu uki include hao wanakua juu ya Iran ila still Iran inakua nafasi ya 5 Kidunia bado ni yale yale.

Kuna Nchi kibao kama Japan, UK, Ufaransa etc ambazo population haitofautiani sana na Iran ila Iran kazi pita, so usi downplay hio achievement hata kidogo.

Na Iran wana vyuo angalau 26 vya Nyuklia, kati ya hao wa Engineer still wana significant number ya Nyuklia Engineer.

We jamaa nawe data zako toa kunapoeleweka sio unatoa kwenye source za kobazi
Iran hana vyuo 26 vya nuklia tu sio kweli ana vyuo vikuu vikubwa vya nyukilia na ndivyo Israel anadili navyo humo umetaja hadi research centers ambazo Iran anazo nyingi tu
 
Israel kuna jambo atafanya, hawezi kuacha ipite hivi hivi tu.
Israel anaweza mbona kuvunja miji sema ye lengo lake nahis ndilo analopambania Tehran ataiharib tu, kawaulize hezboallah alichoifanya Beirut kwenye vita ya wiki 2 tu
 
BREAKING - 🇮🇷🇮🇱⚡U.S. envoy to UN Dorothy Shea:

"Israel's government spread chaos, terror, and suffering in the region…"

She then quickly corrects herself, saying she meant Iran's government, but the damage was done already.
….when she corrected she said “Iran’s government has also spread….” I think she made it worse by correcting. Even if not worse, she did say that they both do that. She didn’t say sorry or excuse me or correction etc
 
Back
Top Bottom