City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Netanyahu akiwa na Mkuu wa shirika la ujasusi la Mossad wakipata kahawa
Wameonekana viunga gani, au wanejichimbia underground?Netanyahu akiwa na Mkuu wa shirika la ujasusi la Mossad wakipata kahawa
View attachment 3377050
Nikikwambiaga hakuna fact unaongeaga unabisha.Kama dini zenyewe ndizo hizi bora hata zisingekuwepo somehow ukiristo ila uislamu ndio miongoni mwa vyanzo vikuu vinavyondoa amani duniani
sehemu muhimu zote iran alizotarget kupiga israel mwanzoni ameshazipiga, sasahivi hana haja Yakutumia nguvu kubwa, kuhusu gharama hata israel anapata hasara,Sasa uoni ni hasara ,
Wakirusha missile zaidi ya 200.
Ni gharama ya zaidi ya USD 300million
Zaidi ya shikingi billion 700. Za kitanzaia.
Ila mbona nao wanarusha 20 , mara 10.
Kwa Nini wasiendelee kurusha 300 , 200, 400.
Walikua wametoka kutembelea paliposhanbuliwaWameonekana viunga gani, au wanejichimbia underground?
Kwani wewe upo dunia ya ngapi???,hiyo ndio maana ya halisi ya politics,matendo na maneno hayawezi endana kamwe but you must make people believe.Kila kitu ni mpango wa USA, basi kama ndivyo, kwa nini asipigwe USA
Kama ni hivyo, basi Marekani anaogopewa na dunia nzima?
Kule kwa Russia mlisema USA yuko anaongoza mapambano huko Ukraine
Leo Iran na Israel wanapasuana, bado mnasema anayepigana ni USA na siyo Israel
Mbona sasa ni upumbavu huu, kwa nini hizo nchi zisimpige moja kwa moja huyo Marekani?
Israel alianza na wafadhiliwa wote wa Iran, na lengo ni kumfikia mfadhili mwenyewe, leo mnasema ni Marekani yuko vitani siyo Israel...?
Wendawazimu huu
Weee ujitambui kwahyo unataka kusemaje..Nikikwambiaga hakuna fact unaongeaga unabisha.
1.World war 1 alianzisha muislam?
2.World war 2 alianzisha muislam?
3.Trans Atlantic slave trade alianzisha muislam?
4.Colonialism alianzisha muislam?
5.Partition of African continent and other continents walifanya waislam?
6.Nani mtu wa kwanza kutumia ATOMIC BOMB?
Uko factless kabisa.
USA Libya ilimfanya nini hadi akaivamia na kuua Gaddafi?
Kiasi Libya haitawaliki tena.
Iran hakwenda kujadiliana,alienda kuwasikiliza wasemacho, hakuna atakayeiamulia Iran cha kufanya, Putin kasema wao na Iran wanapambana na kitu kimoja,hiyo ni mipango yao ya kuivuruga eastern frontTalks between Iran and the three European powers have been halted.
The Europeans are demanding zero uranium enrichment in Iran.
View: https://x.com/Terror_Alarm/status/1936083517609545777
Iran warushe makombora pote ila sio hapo
hisia tu kwa kila kituKwani wewe upo dunia ya ngapi???,hiyo ndio maana ya halisi ya politics,matendo na maneno hayawezi endana kamwe but you must make people believe.
Chukulia mfano Russia vs Ukraine,watu wote wanajua nchi zote za EU zinaiogopa Russia kijeshi so why Ukraine ka nchi ambako sio chochote ipambane na russia mwenye akili unajua kabisa hiyo ni michezo.
Sababu Nyingine ya iran kurusha makombola mengi kwa wakat mmoja ni hiiSasa uoni ni hasara ,
Wakirusha missile zaidi ya 200.
Ni gharama ya zaidi ya USD 300million
Zaidi ya shikingi billion 700. Za kitanzaia.
Ila mbona nao wanarusha 20 , mara 10.
Kwa Nini wasiendelee kurusha 300 , 200, 400.