Jamaldini pie
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 162
- 120
Ulinzi wa Israel iheshimiwe kwa idadi makombora anayorusha mzee dera ingekuw ni nomaMzee ndevu kafunika ulinzi wote wa Israel, sasa hivi behewa.
Nani alikwambia yanafanywa wakati wote?
Piga hesabu, leo ni wimbi la 17 la mashambulizi kutokea Iran, linaendelea muda huu, mpaka leo ni siku ya nane.
Huwa sikisii:
View: https://youtu.be/pP4wL9kTPhY?si=NffvC1gqOWm-BJos
Pia imehisiwa hivyo lakini hakuna uhakikaIsije ikawa wanatest nuke.
Inahisiwa hivyo lakini hakuna uhakika. Wenzetu Wana intelijensia lazima taarifa zingetoka kuwa Kuna nuklia test itafanyikaNuke test
Kwenye hizo Kuna wale ambao wahaipendi serikali ya Israel japo wao pia ni wayahudi. Wana sababu zao.Sio kweli Israel atapambana hadi tone la mwisho
Tutakuwepo 👉
Yes na utafiti wa mahojiano uliofanywa juzi unaonyesha asilimia 82 wanaunga mkono serikali ipambane na iran, Iran akipigwa yule pale patatulia sababu ndio anadhamini magaidi wote me pia naunga mkono apewe kipondoKwenye hizo Kuna wale ambao wahaipendi serikali ya Israel japo wao pia ni wayahudi. Wana sababu zao.
Hata iran pia wapo.
Yeah kila source inatofautiana ila zinarange hapo according to IDF Iran hadi sasa amerusha missiles takribani 370 with exclusion of dronesMissiles 500 duuu.
Jamani fatuteni vyombo vya uhakika jamani.
Celebrating the fall of oppressive regimeTangazo limetoka Sasa raia wanaruhusiwa kurudi mtaani
Ni kweli?Waziri wa mambo ya nje wa Iran anasema wapo tayari kutumia diplomasia endapo Israel itaacha kushambulia Ir
Siku ya Leo tuu.Yeah kila source inatofautiana ila zinarange hapo according to IDF Iran hadi sasa amerusha missiles takribani 370 with exclusion of drones
Hamsha hamsha zipo Israel zipo huko haifa ,Mbona Leo hamna hamsha hamsha kwa pande zote kobazi na makafiri
Tangu last wiki japo leo tu lile la mwisho alirusha 20 na hapo kapunguza, siku ya kwanza zilikaribia 100 na bado wakasema mifumo ya Israel hailindi angaSiku ya Leo tuu.
Au Tangu last week?
Reckless/desperste attacks of no military value