SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Nafahamu uki include hao wanakua juu ya Iran ila still Iran inakua nafasi ya 5 Kidunia bado ni yale yale.

Kuna Nchi kibao kama Japan, UK, Ufaransa etc ambazo population haitofautiani sana na Iran ila Iran kazi pita, so usi downplay hio achievement hata kidogo.

Na Iran wana vyuo angalau 26 vya Nyuklia, kati ya hao wa Engineer still wana significant number ya Nyuklia Engineer.

Sasa wanasayansi wa urusi wanafanya Nini?
 
sehemu muhimu zote iran alizotarget kupiga israel mwanzoni ameshazipiga, sasahivi hana haja Yakutumia nguvu kubwa, kuhusu gharama hata israel anapata hasara,
Kufeli hapana.
Wakati Ile ni computer system tuu ,
Hio taarifa ni chombo ya habari ya uturuki ndo inasabaza.
Labda kuishiwa missile.
 
sehemu muhimu zote iran alizotarget kupiga israel mwanzoni ameshazipiga, sasahivi hana haja Yakutumia nguvu kubwa, kuhusu gharama hata israel anapata hasara,
Ndo maana nikasema Hana sehemu ya kupiga zingine.
Kabaki kupiga sehemu za wazi, shule , hospital
 
Ishu ya Iraq walikuwa wanafuata resources, mbona inajulikana.
Ulikuwa wizi tuu wanafanya USA na NATO
Libya,Yemen, Lebanon, Syria,Sudan walikuwa wanatafuta nini? Umeisikiliza hiyo interview vizuri ya huyo General......? Hata yy mwenyewe alipo omba hapewe sababu hakupewa.........
 
Libya,Yemen, Lebanon, Syria,Sudan walikuwa wanatafuta nini? Umeisikiliza hiyo interview vizuri ya huyo General......? Hata yy mwenyewe alipo omba hapewe sababu hakupewa.........
USA kinachowasumbua ni kutafuta kuwa na influence katika nchi hizo.
Hio ndo ishu pamoja na resources,
Sudan wanaosababisha vita ni wengi hata UAE nao wapo walikuwa wanapeleka drone waasi kupigana na majeshi ya serikali.

Ni kama iran anatafuta influence pale middle east , uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana, maana Israel nyuma wapo USA na NATO.
Ndo maana mataifa ya middle east mengi wamewakaribisha USA kuweka military base pale kwao, coz wanajua iran ni mnafiki tuu, anafanya mipango wa kuziangusha tawala za kifalme za kiaarabu, Moja wapo ni Saudi arabia, kisa Saudi ni Suni afu iran ni shia.
 
Media za Iran zinareport tetemeko la ardhi muda huu kaskazini mwa Iran
20250620_212704.jpg
 
Mashambulizi hayafanywi muda wote, makombora yatayofanikiwa kutua na impact kutokea basi baada ya muda warudi hurudi mtaani ndio maana kwenye hizo video footage unaona baada ya shambulizi watu wameendelea na shughuli zao zingine
Nani alikwambia yanafanywa wakati wote?

Piga hesabu, leo ni wimbi la 17 la mashambulizi kutokea Iran, linaendelea muda huu, mpaka leo ni siku ya nane.

Huwa sikisii:


View: https://youtu.be/pP4wL9kTPhY?si=NffvC1gqOWm-BJos
 
USA kinachowasumbua ni kutafuta kuwa na influence katika nchi hizo.
Hio ndo ishu pamoja na resources,
Sudan wanaosababisha vita ni wengi hata UAE nao wapo walikuwa wanapeleka drone waasi kupigana na majeshi ya serikali.

Ni kama iran anatafuta influence pale middle east , uwepo wa Israel kwao ni kikwazo sana, maana Israel nyuma wapo USA na NATO.
Ndo maana mataifa ya middle east mengi wamewakaribisha USA kuweka military base pale kwao, coz wanajua iran ni mnafiki tuu, anafanya mipango wa kuziangusha tawala za kifalme za kiaarabu, Moja wapo ni Saudi arabia, kisa Saudi ni Suni afu iran ni shia.
Iran hajawahi kumtisha hata mtu mmoja? Ukiona Iran kareact basi umemuanza. Ndio maana hata huyo US General mkuu wa vikosi vya NATO wakati anapewa hiyo task, akamuuliza sababu Secretary of Defence kwa nini wanazipiga nchi hizi saba hakumpa sababu.
 
Hivi ndivyo Israel inavyosimama linapokuja suala la makombora ya balistiki:
* Mfumo wa Ulinzi wa Anga Wenye Tabaka Nyingi: Israel ina mfumo wa ulinzi wa anga wenye tabaka nyingi unaojumuisha:
* Iron Dome: Iliyoundwa kukabiliana na roketi za masafa mafupi.
* David's Sling: Iliyoundwa kukabiliana na makombora ya masafa ya kati.
* Arrow Missile System (Arrow 2 na Arrow 3): Hii ndiyo sehemu muhimu zaidi linapokuja suala la makombora ya balistiki. Mfumo wa Arrow umeundwa kukabiliana na makombora ya balistiki ya masafa marefu, ikiwa ni pamoja na yale yanayotoka nje ya anga ya dunia (exo-atmospheric). Arrow 3 hasa imeundwa kwa ajili ya kukabiliana na makombora ya balistiki ya masafa marefu zaidi kwa kuyaharibu angani kabla hayajafikia shabaha.
Kama ni hivi mbona wanabutuliwa?
 
Back
Top Bottom