SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Israel ni noma. Unaambiwa kumbe hata kule kwenye mgogoro wa juzi kati ya India na Pakistan Israel alikuwemo na alirusha drone kujaribu kulipua site za nukes za Pakistan ila mision yake ikaishia njiani.

Hii ni kwa mujibu wa maafisa wa Islamabad.
 
Kibaraka aliyetumwa na USA kwenda kupima mambo karudi amevimba kila mahali hawezi hata kutamka maneno vizuri
Sasa anasema thatha
Maziwa anasema mathiwa
Samaki anasema thamaki🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣

Anaongea kichina au siyo??

Hii vita mpaka inahitimika, tutaona na kusikia mengi

Hii nayo ni moja ya mambo ya uwongo unaofurahisha sna 🤣🤣
 
Kombora la Iran limepiga pia eneo la shule. Hata hivyo shule ilikua imefungwa tayari
20250620_161504.jpg
 
Back
Top Bottom