SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Yale yale ya Sadam na Iraq,walizusha kuna weapon of mass destruction, kumbe ni uzushi na ilikuwa propaganda za uongo za kumpiga Sadam. Haya IAEE nao wameongea hamna prove inayo onyesha Iran kama ana silaha za Nuclear.
View attachment 3376938
Iran siraha za nuclear Hana,
Angekuwa nazo Israel asingeshambulia kwanza.

Na hata hao USA na Israel wanasema operation Yao ni kuzuia iran asiwe na nuclear bom.
So ni wazi kuwa nuclear bom Hana.
 
Eneo la tukio ambalo kombora la Iran lilipiga
20250620_162719.jpg
 
Mashambulizi hayafanywi muda wote, makombora yatayofanikiwa kutua na impact kutokea basi baada ya muda warudi hurudi mtaani ndio maana kwenye hizo video footage unaona baada ya shambulizi watu wameendelea na shughuli zao zingine

Unajua ishu ipo hizi iran wakirusha makombola.
Yanaonekana kwenye radar kuwa yanakuja kabla ya dkk 20 mpk 15 kufika , kwa muda huo tahadhari inatolewa ni rahisi kuchukua hatua haraka sana.
 
Unajua ishu ipo hizi iran wakirusha makombola.
Yanaonekana kwenye radar kuwa yanakuja kabla ya dkk 20 mpk 15 kufika , kwa muda huo tahadhari inatolewa ni rahisi kuchukua hatua haraka sana.
Kubisha muda mwingine ni kazi ngumu, heye anafikiri makombora muda wote yanarushwa. Kwa siku wanaweza kurusha makombora mara 1 , Mara mbili ah Mara 3 inategemea na walivyopanga. Kombora lilishatua either limekua intercepted au limepenya basi baadi ya dakika kadhaa watu wanaendelea na shughuli zao
 
Air defence ya Israel ikipambana na makombora ya Iran yaliyorushwa muda huu, mangapi yamepenga mangapi yamepita taarifa itakujia
View attachment 3376826
Ila kwa Dunia ya sasa nchi zenye watu wenye akili timamu , wanatafuta njia ya kukabilina na siraha za adui.
Mfano kama Israel sasa ameshajua kuwa makombola ya iran kuyazuia inaitajila jitahada , sasa watatafuta njia ya kuyazuia na kupambana nayo.

Hivyo hata kwa upande wa iran wameshaona kuwa Kuna ushaifu kwa jeshi la anga , nao watatafuta njia.
 
Kwani tatizo liko wapi? Kwa taarifa yako ndege Zach F-35 zinafuata same same science principles zinazo tumika katika urushaji wa ndege, hakuna change kusema sijui hizi ndege zinaundwa: Sijui Merikani Urusi au Uchina!!
Hahahaha You know nothing John snow
 
Ndo maana kupata information ndani ya iran ilikuwa ni shida sana Tangu juzi.
Yani kinachondelea kule hakijulikani.
Mpk sasa.
Bola hata Israel tunaona.
Wapo wanaotoa taarifa na kuchukua videos japo kwa ugumu
Lakini pia unapaswa kujua kwa maeneo ambayo Israel anashambulia ni ngumu kwa raia au media kufika na kuchukua videos sababu yanakua ni maeneo yanye restrictions. Videos watu huzirekodi kwa mbali
Walipiga mtaani/mitaani inakua rahisi sababu watu wanaoishi Hapo watachukua videos

Wapo wairan wachache wanaoweza kuaccess internet muda huu sababu ya starlink na wengine wenye super vpn
 
Kubisha muda mwingine ni kazi ngumu, heye anafikiri makombora muda wote yanarushwa. Kwa siku wanaweza kurusha makombora mara 1 , Mara mbili ah Mara 3 inategemea na walivyopanga. Kombora lilishatua either limekua intercepted au limepenya basi baadi ya dakika kadhaa watu wanaendelea na shughuli zao
Ila iran sasa naona kurusha makombola mengi kwa wakati mmoja naona wameshajua ni upotevu na mali tuuu.

Maana unarusha mengi mengine wanaanguka barabarani , sasa haisaidii.
 
Iran siraha za nuclear Hana,
Angekuwa nazo Israel asingeshambulia kwanza.

Na hata hao USA na Israel wanasema operation Yao ni kuzuia iran asiwe na nuclear bom.
So ni wazi kuwa nuclear bom Hana.
Sasa IAEE wenye mamlaka ya kuchunguza silaha hizi za Nuclear wamesema hawana, why wao wanakomaa hapo ndio ujue ilitafutwa sababu ya Iran kupigwa imepatika na ni sababu ya uongo.
 
Wapo wanaotoa taarifa na kuchukua videos japo kwa ugumu
Lakini pia unapaswa kujua kwa maeneo ambayo Israel anashambulia ni ngumu kwa raia au media kufika na kuchukua videos sababu yanakua ni maeneo yanye restrictions. Videos watu huzirekodi kwa mbali
Walipiga mtaani/mitaani inakua rahisi sababu watu wanaoishi Hapo watachukua videos

Wapo wairan wachache wanaoweza kuaccess internet muda huu sababu ya starlink na wengine wenye super vpn
Yah Kuna video Moja niliiona juzi ya iran wananchi walirekodi kwa mbali sana.
Ni moshi na moto unafuka juu.
Ilikuwa attack ya Israel
 
Sasa IAEE wanye mamlaka ya kuchunguza silaha hizi za Nuclear wamesema hawana, why wao wanakomaa hapo ndio ujue ilitafutwa sababu ya Iran kupigwa imepatika na ni sababu ya uongo.
Israel wamesema wanawazuia ili wasitengeze ,
 
Back
Top Bottom