SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Anayetafutwa kwenye hii vita kwa sasa ni US na jamaa ameshasanuka kitambo ndiyo maana maneno ni mengi.. japo mimi najua kabisa baba wa kweli hawezi kumwacha mtoto wake auwawe kwa dhihaka huku yeye anashuhudia na akijua wazi ndiye aliyemtuma akachokoze watu asiojua uwezo wao.

Baba wa kweli anajitoa sadaka kwaajiliya watoto wasio na hatia aliowaleta duniani pasi na wao kutaka haijalishi hata atauwawa kinyama.

Ikiwa basi USA atabaki kurusha maneno badala ya kuchukua hatua kuinusuru Israel, sisi walala hoi tutajua wazi kabisa Iran ni taifa lenye nguvu kubwa duniani ila halitaki kujionyesha na moja kwa moja kawashinda USA na Israel kwa wakati mmoja.

Nb. Kama israel inajiamini iache watu watupe habari za yanayojiri huko maana ukilinganisha air defence system ya iran inavyo nyakua makombora ipo speed sana kuliko lile litoy la israel walilopewa na USA lipo slow kichizi mpaka lina boa
Litoy linayabembeleza makombola ya irani ili liyadake mpaka linajipiga lenyewe.
 
Ile six day war ya 1968 ambapo Israel ilizichpa nchi za waarabu ikashinda ilisaidiwa na Ulaya na US mpaka askari waliotumika ni wa huko. Kuna siku nilimsikia retired mmoja wa UK anaongea namna alivyo shiriki vita hivyo na akasema wazi waliambiwa wajifanye ni askari wa Israel.

Hii ndio sura halisi ya taifa teule la mchongo ambalo limeumbuliwa na Iran
 
Lile ni taifa teule kapingane na biblia sisi hapa tuletee data za vita
 
Ile six day war ya 1968 ambapo Israel ilizichpa nchi za waarabu ikashinda ilisaidiwa na Ulaya na US mpaka askari waliotumika ni wa huko. Kuna siku nilimsikia retired mmoja wa UK anaongea namna alivyo shiriki vita hivyo na akasema wazi waliambiwa wajifanye ni askari wa Israel.

Hii ndio sura halisi ya taifa teule la mchongo ambalo limeumbuliwa na Iran
Na aliyeuza ramani ni yule mpuuzi Ashraf Marwan, aendelee kuchomwa moto huko aliko.

Hadi sasa ni kizungumkuti haijulikani aliyemuua alikuwa nani, natamani sana iwe ni mamlaka za Misri.
 
Pakistan wanapakana na Iran,ni karibu vilevile, waarabu itakua wamegoma

US haina uwezo kupambana na Iran pasipo kuweka base yake mashariki ya kati au kwa majirani wa Iran, la sivyo mtasgangazwa, na Iran imejipanga kukabiliana na US zaidi kuliko hata Israel japo kwa sasa msaada wa US nyuma ya Israel inaonekana hausaidii, hivyo US inabidi aingie mzima mzima official..
Hata kuweka base kwa nchi jirani na iran nalo ni tatizo, hiyo nchi iwe imejipanga kupokeq mvua ya mabalistic
 
Jangiri Muoga sana huyu
1000463420.jpg
 
Back
Top Bottom