SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Huku kwetu tunawapa wenyewe ndio maana hawatumii nguvu... Siku tukijitambua ndipo utaona wanaanza kututishia na silaha za moto na vikwazo
siku ikitokea Nchi flan kutaka kuikomboa Tanzania toka kwa kaburu Mweusi.. Ccm watatumia uwongo huu huu kuwa wanatolewa madarakani kwasababu wanalinda dhahabu ya Nyamongo.
kwangu haiyamkiniki Marekani kutaka Gesi ya North Korea ama Iran uku kwake ana Nyingi haina wateja mbaya zaidi Gesi hiyo inaridwa na Nuclear weapons.
 
Mkuu wa majeshi wa Israel anasema kuuwawa kwa kwa Saeed Izad ni moja ya mafanikio sababu alihusika pakubwa kwenye mashambulizi ya October 7.
Anadsema operation ya kumuua Leo huko nchini Iran ilikua operation iliyofanikiwa kutokana na umahiri wa intelijensia ya Israel.
20250621_135904.jpg
 
Kumbe Israel bado haijaanza kuangusha vitu kwenye miji ya Iran. Kumbe Hospital, television na mfumo wa maji taka wa Tehran vyote hivyo vilipitiwa na kimbunga au tetemeko la ardhi siyo vitu vya israel
Rafiki yangu Israel bado hafany hilo kabisa. Ukianza kusikia wameanza kuongelea sana habari za watoto, makambi ya watu na watu kukosa chakula na maji ujue tayari mayahudi yapo kazini. Kwa sasa wanapiga tu target zao baada ya hapo wataingia mtaani. Hayo unayoyasema ni sawa ila sio kwa kiwango tulichoona kule Gaza.
 
B-2 bombers zimeonekana zikiruka huko usawa wa kisiwa Cha guam

Je zitaenda kupiga fordow? marekani wapo tayari kupiga? Tusubiri
20250621_144037.jpg
 
Japo siyo mtaalamu wa hayo mambo ila nitajibu kwa ufahamu wangu mdogo.

Kwa kawaida mtawala huwa anazuia kuibuka kwa watawala wapya watakaoangusha utawala wake. Ndio maana nchi yoyote yenye uwezo mkubwa kijeshi na mlengo tofauti na NATO inapoanza kuinuka kiuchumi huwa ni kitisho kwa wakubwa, hivyo lazima izuiwe kutumia rasilimali zake ipaswavyo ili isije kufanikiwa kiuchumi. Bila uchumi mzuri, jeshi ni kanyaboya tu. Ndio maana nchi ambazo zinainukia kijeshi zikiwa kinyume na NATO huwa zinakumbana sana na vikwazo vya kiuchumi na machafuko za kijamiaa k.m uasi na mapinduzi. Nchi yoyote ikishajiweza kijeshi na kiuchumi inakuwa untouchable


Nchi maskini zenye rasilimali siyo kitisho kwa nchi zilizoendelea maana wanajua wanaweza kuzi-control na hizo rasilimali haziwezi kuzisaidia hizo nchi kuwapiku wao na pia wakizihitaji muda wowote watazipata
Ebu nifafanulie; Iran na N/korea zina uchumi gani hadi kuwa Tishio kwa Nchi zap Magharibi?.

unajua kwasasa uchumi wa Dunia una hama kutoka Magharibi kwenda Mashariki ya Mbali.yaani nchi za mashariki ya mbali ndiyo zinazokua haraka kiuchumi kuliko nchi zingine..ikiwa hoja yako ni kukua kwa uchumi ndiyo hofu ya Magharibi...sasa why mashariki ya mbali Kuna Aman kuliko mashariki ya kati kwenye nchi ambazo ukuaji wake wa kiuchumi ni mdogo?.
 
Weka chanzo cha hizo habari zako kwa sababu hakuna chombo chochote cha habari kilichotangaza hadi sasa.
Kuna vijihabari vinatoka twitter huko mtu anajiandikia tuu bila ushahidi wowote ,
Sasa unamkuta mtu anacreenshoot anatuletea humu
 
Ukaguzi mkali unafanyika kwenye lango la kuingia Tehran, maafisa wa usalama wanakagua simu. Kuna msongamano wa magari
20250621_145459.jpg


20250621_145511.jpg
 
Moja ya source anayo leta humu ni jamaa self claimed mwenyewe ni zionist yupo Israel, utapata habari ambayo haina Bias toka kwa Zionist?

View attachment 3377740
So atadanganya watu ambao hawapo informed
Nililueleza sources natumia zote kuanzia za pro Iran, pro Israel, walio neutral na credible media sources. Huwezi kutumia pro Iran tu au pro Israel tu. Mfano unategemea hao open source Intel wataonyesha impacts za makombora ya Iran?? He kupata picha na videos si lazima nitaenda kwa pro Iran na media credible

Mfano hao open source Intel Jana usiku waliweka hii picha chini ya shambulio la Israel huko Iran, unafikiri kwa nini mm sikuileta humu?? Sababu haipo kwa wengine ambao ni credible na pia hii picha kwa kuangalia tu ni edited picha Wala si halisi. Ningekua nachukua kwao tu au kila kitu basi hii ningeileta humu
20250621_150247.jpg
 
Back
Top Bottom