SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mossad agent aliyekamatwa akiwa amewekwa kiti moto...

Confession of a Mossad agent to the head of the judiciary: I used to go up to the roof to photograph and send messages about the locations of the anti-aircraft guns.

View attachment 3378000
Nionavyo mimi wengi wao si Mossad, bali ni wasaliti walioamua kuitumikia taifa la Israel kwa maslahi yao binafsi ndani ya Iran
 
Mossad wanatumia wayaundi waliokulia hapo hapo nchini kwako.
Maana hakija mgeni mtamjua
 
Nionavyo mimi wengi wao si Mossad, bali ni wasaliti walioamua kuitumikia taifa la Israel kwa maslahi yao binafsi ndani ya Iran
Maana kama wanapata taarifa nyeti namna hivyo hao wanaotoa.
Ni raia wa hapo hapo ndani ya iran na sio agent kutoka Israel, mgeni mtamjua tuu kuwa huyu hajazaliwa hapa Wala ndugu zake hawapo hapo.
 
Back
Top Bottom