Mwanahabari Huria
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 406
- 308
Mungu awasaidie Irani
Wanapiga kila kituIsrael inashambulia kwa makombora kambi ya jeshi la.wanamaji bandar abbas
Numbisa nakupenda nataka nikuoe..Haa mara hii umesahau tuna mume mmoja shostie
na huko kusini ndo fordow ilipoIsrael muda huu inashambulia kwa makombora maghala ya drone eneo la kusini magharibi mwa
Yaani Iran Israel ni kama anawaoneshea USA na watu wengine namna ya kupigana vitaNaona Israel anashambulia Iran Navy
Kwamba Yesu aje na CCM bado inatawala?Mambo haya yanatabiri mwisho wa dunia
Numbisa nakupenda nataka nikuoe..
Uzuri waarabu wengine wanafurahia tu Iran akipigwa maana alikuwa jeuri sanaYaani Iran Israel ni kama anawaoneshea USA na watu wengine namna ya kupigana vita
Iran walisema watarusha makombora 400Ukisikia Gloves off ndo hii sasa
Iran hakuwahi kuwa na Air Defence au Israel kaharibu zote
Ila leo Iran kawa kimya sana si kawaida yake
Inashambulia wapi?Iran inshambulia sasa