kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,190
- 24,620
Tatizo la sasa hivi ni kupata video na picha nzuri, maeneo mengi ni giza tu. Zikipatikana zilivyo vizuri nitaziweka,.tuvute subraTupia picha na tu video bas
Huyo manzi kama hayupo kwenye siku zake basi ni nyege zimemkamata..Ukizungusha sketi hapa wahuni tutakupigia miluzi tu shubamit
Asante sanaTatizo la sasa hivi ni kupata video na picha nzuri, maeneo mengi ni giza tu. Zikipatikana zilivyo vizuri nitaziweka,.tuvute subra
SawaUnajidanganya...
Vita ya ardhi ndio kila kitu..
Au anakimbia asiwe Target na IDFTaifa kama Quatar litampa msaada gani wakati ndipo kuna kambi kuu ya kijeshi ya USA mashariki ya kati, haya mataifa ya kiarabu yaliyoendelea kuna namna yanashajiweka mbali na wenzake, just imagine Palestine wanavyohaso yapo tu na biashara zao na magharibi zipo kama kawaida
Niliwambia hawa wa Iran wa humu kwamba Itafika muda Iran hataweza kurusha hata jiwe kwenda Israel, maana anacho fanya Israel kwa sasa ni kiwinda missiles ziplipo na kuzilipua.Sidhani maana toka asubuhi hajarusha, inasemekana Israel anawinda launchers na missile depots na kingine drone ziko active muda wote hivyo wanakuwa na updates wakiona movwment tu wanashambulia.
Naona kama lengo lao litatimia.
Huenda wanajeshi wengi sana wa Iran wanakufa katika hayo mashambulizi ni vile hubali siri
Waarabu wapo Israel kama nani? 2nd citizenwayahudi wana intelijinsia kali mashariki ya kati yote na nchi za kiarabu, na kama suala ni wayahudi kuwepo iran mbona pia waarabu kibao wapo israel?
Poa poa endelea kushusha vyuma mkuuMkuu Israel wanashambulia kwa ndege za F-35 ambazo ni ngumu kuonekana kwnye radar. Lakini pia inawezekana wametawala airspace kwa kiwango kikubwa!Hilo Sina uthibitisho japo taarifa zilisema hivyo)
Yahudi hataki ujingaAsante sana
Lakini mbona leo makobazi wanapelekewa moto sana
Yahudi kachafukwa sana nini
FM wa Iran ameonekana Uturuki, inawezekana ni mkakati wa kuweka mambo sawa[emoji298]️Trump agreed and told Erdogan that he was ready to send Vice President JD Vance and White House envoy Steve Witkoff - and even travel to Turkey himself to meet with Iranian President Massoud Pazkhian - if necessary — Barak Ravid
Nipo ndugu yangu nafatilia jinsi kobazi na wagalatia wanavyopaluana kwa uzamini wa yadudi na Persian