SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Toka itoke Marekani hio ndege hata kama imepandishwa kwenye basi ingekua ishafika Iran by now.
Hapeleki Iran moja kwa moja ila ana kambi zake ukanda huo. Irani itakuwa inaenda kushambulia na kurudi
 
yamepita masaa 20 tokea Iran karusha missiles
Ayatollah naye ni sababu kubwa ya hii vita kutokea.
Tangu 2018 washauri wake wa usalama walisha muonya sana kuwa Iran bila kumiliki silaha za nyuklia Iran haitokuwa salama yeye eti Iran haitakiwi kuwa na silaha za nyuklia eti kwasababu dini hairuhusu.

Yaani kila upande umezungukwa na machawa wa Marekani alafu usiwe na silaha za maangamizi utegemee kubaki salama?
Hivi N.korea bila silaha za nyuklia ingekuwa salama mbele ya Marekani,s.korea na Japan?
Au uchina isingekuwa na silaha za nyuklia mpaka sasa ingekuwa salama.
Au Urusi isingekuwa na nyuklia ingekuwa salama dhidi ya vibaraka wa Marekani walio mzingira kila sehemu?
 
Ayatollah gani?
 
Ishu ni kwamba
Wao wenyewe walishatengezeza uadui kati Yao na Israel na USA.

Wanaanzisha makundi ya wapiganaji, kama Hezbollah na youth sijui ,
Wanasupport hamas,
Kuna kipindi yule general Suleiman alihusika na vifo vya wanajeshi zaidi ya 700 wa USA.

Zaidi ya miaka 10 iliyopita ayatollah yeye mwenyewe alianzisha mpk wa kuifuta Israel kabisa kwenye uso wa Dunia .

Sasa unafikili watakuacha.

Wasingefanya yote hayo wakadili na mambo Yao yasingetokea hayo.
 
Back
Top Bottom