Utajuaje? Test za chini ya ardhi utaona tetemeko tu lakini hutojua kama ni tetemeko la asili au ni tetemeko lililosababishwa na majaribio ya nuclear.Mmmmmh ukitest nuke inajulikana tuu mkuu.
Siku hizi chache tangu vita vimeanza yametokea matetemeko mawili nchini Iran alafu ni maeneo yaleyale ambako inadhaniwa kuna urutubishaji unaendelea chini ya ardhi... Kwanini itokee kipindi hiki?
Korea kaskazini nae alishajaribu lake chini ya ardhi hadi mlima ukacheza 😁... Juu ya ardhi jamii ya kimataifa itajua kwa urahisi kupitia mlipuko wa tofauti na milipuko mingine au kupitia mionzi ya nuclear