gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Tusikilizie alhabibItakua Fordow imeshasambaratishwa?
Tusikilizie alhabibItakua Fordow imeshasambaratishwa?
Leo wamekuwa kimya sana hadi Kosugi hajalala anasubiri makombora 400Kobazi mda wenu huu lakin naona wote mumepoteana
Kwa nini ?Naanza kukata tamaa sasa na muajemi.
Aaaaah aaaah aaaaah.
It's true imeuawaLete taarifa za uhakika sio hizi za pauka pakawa.
Hawajaamua hizo zitatumika kama final touchNimepata tena muda wa kuhoji.
Wakuu B-2 zimefika wapi ? Updates please
Safari bado mkuu mida badoNaanza kukata tamaa sasa na muajemi.
Aaaaah aaaah aaaaah.
Zipo wapi kwa sasa ?Hawajaamua hizo zitatumika kama final touch
Naanza kukata tamaa sasa na muajemi.
Aaaaah aaaah aaaaah.
Ngoja tusubiri tuone.Waajemi ni watu wazuri tatizo lao ni uchawa kama CCM, Ndio maana Mossad imefanikiwa kupenetrate
Nini imeuwawa mkuuIt's true imeuawa