Hawezi kupiga tu mfululizo mkuu kama unavyo waza kama hakuna target iliyokusudiwa na kupangwa ndio unaona wanapokezana kupiganaHapa inatakiwa Israel asipoe kama masaa 48 mfululizo ili akipumzika anakuja kumalizia tena kwa masaa 48..........ili tendo akilifanya kwa mwezi vita itakuwa imeisha
Wa nini........kule kwenyewe wa Iran wasipoenda udini mwingi watachukua inchi yao mapemaHalafu askari wa miguu hapeleki ?
Wana makombora ya kutumia miaka mitatu unusu hata kama hawatotengeneza mengineSamahani wakuu kwa siku Iran ina uwezo wa kuzalisha makombora mangapi kwa makadirio ? Na inaweza rusha makombora mangapi kwa siku endapo vita vikiwa vya muda mrefu tufanye makisio kama vita vikienda miaka zaidi ya mitano ?
Umeisoma comment yangu au umekurupuka kujibu?Ebu nifafanulie; Iran na N/korea zina uchumi gani hadi kuwa Tishio kwa Nchi zap Magharibi?
Chukulia Tanzania ndio inapigana na Adui kama Israel,Ila hizi vita za kisasa bwana ni vichekesho yaani unamtangazia adui yako kuwa utashambulia saa ngapi na maeneo gani haya maendeleo ya vita za kisasa ya ajabu sana na ya kufurahisha
Umeamua kuandika matamanio yako ila sicho IDF wanacho pambana nacho.Hao wote wamedhoofiishwa kuliko ilivyokuwa mwanzo Hezbullah hakuwa mtu wa kuisikiliza Serikali ya Lebanon ila baada ya mkong'oto saa hizi ana adabu, Houth anakaribia wiki hakuna kombora pale Ben Gurion, Hamas ndo wamebaki kugombea chakula cha wana Gaza.
😂😂 Kati ya hao uliowataja Hezbullah ndio wameniangusha kwa kweli maana sifa walizokuwa wanapewa humu na majenerali wa JF hasa kambi ya makobazi zilikuwa zinatisha na kuogofya kwa jinsi walivyokuwa wanatuambia maana walisema jamaa wana vifaru vinapaa angani na drone na makombora yenye kasi ya mwanga wanaomba myaudi ajichanganye tu kama 2016 watu wamalize kazi 😂😂Hao wote wamedhoofiishwa kuliko ilivyokuwa mwanzo Hezbullah hakuwa mtu wa kuisikiliza Serikali ya Lebanon ila baada ya mkong'oto saa hizi ana adabu, Houth anakaribia wiki hakuna kombora pale Ben Gurion, Hamas ndo wamebaki kugombea chakula cha wana Gaza.
Kwa siku ni wastani wa kombora 1 hadi 2 kwa uwezo wa sasa, yanaweza kupiga Israel, wanayo makombora masafa madogo na ya Kati ambayo hayafiki Israel ila Idadi yake wanaweza kukichafua Qatar na Saudia, na ninaomba hili litokee hili Israel iwasaidie Saudia na Qatar kujilinda, Hili litafanya Qatar na Saudia waache kufadhili makundi yanayoipinga IsraelSamahani wakuu kwa siku Iran ina uwezo wa kuzalisha makombora mangapi kwa makadirio ? Na inaweza rusha makombora mangapi kwa siku endapo vita vikiwa vya muda mrefu tufanye makisio kama vita vikienda miaka zaidi ya mitano ?
Ukraine ilikuwa ikilenga high ranking officials wa Russian army mwanzoni mwa vita hakuna walicho achieve wakaona upuuzi maana hawakuweza na mpaka sasa hawajaweza kuwatoa Russia katika ardhi yao kwa hiyo mbinu yao.Chukulia Tanzania ndio inapigana na Adui kama Israel,
Israel ikiiua Majenerali wa JWTZ, Polisi na wakuu wa Usalama, Na wakuu Polisi Mikoa, Unadhani itachukua Muda gani Chadema kuingia mitaani na kupata nguvu ya Umma?
Kuna jamaa Mmoja hapa kasema Israel inaenda Iran kuchukua nchi, nimecheka sana😂 nikifikiria hayo makundi yanavyo mhenyesha Israel Iran ndiyo ataweza?Israel haja malizana na
i, Hamas bado wapo hapo hapo Gaza alipo pazunguka pande zote
ii, Hezbollah bado wapo hapo kwa jirani yake pua na mdomo
iii, Houthis bado wapo Yemen na warusha vikombora vyao vya kuunga unga kwa kuvuzia kama awali
Mpaka sasa hakuna hata kundi moja alilo lisambaratisha Israel yeye na Iran ndio hivyo bado wana endelea kusutana
Usilale vyuma 400+ vinasubiri amri tu vika msalimie BIBI kwenye shimo lake huko Tel AvivMie nalala aisee.
Tutapeana update asubuhi maana naona kimyaa.
How old are you ?Wa nini........kule kwenyewe wa Iran wasipoenda udini mwingi watachukua inchi yao mapema
Western country ni wazuri sana kwa PropagandaIla hizi vita za kisasa bwana ni vichekesho yaani unamtangazia adui yako kuwa utashambulia saa ngapi na maeneo gani haya maendeleo ya vita za kisasa ya ajabu sana na ya kufurahisha
Kazi imeanza,muda wa kulala wanawaamshaUsilale vyuma 400+ vinasubiri amri tu vika msalimie BIBI kwenye shimo lake huko Tel Aviv