Ishu sio makombola mangapi.
Iran adui Yao mkubwa ni USA
Na Israel. Ila hasa USA.
Je wanamakombola mangapi yanayofika USA?
Sehemu ya umbali wa km zaidi ya 5000km.
Israel ipo karibia 2000km.
Makombola ya kufika hizo km ni ballistic missile.
Ballistic Moja inatumia weeks mpk miezi kuisha kbs.
Afu missile kudevelop utumii miezi au mwaka Moja.
Unapoona 46 miaka SI kwamba walianza kutengeneza 46 years ago NO.
Miaka ya nyuma walikuwa wanatumia makombola ya scud kutoka urusi mpk mwishoni mwa miaka ya 90 ndo wakaja na plan ya kudevelop missile.
Na kuwa na missile inachukua stage mpk update final product.