City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Breaking
Mlipuko mkubwa muda huu eneo la Fordow nuclear site
Mlipuko mkubwa muda huu eneo la Fordow nuclear site
Iran sehemu gani mkuu pako shwari?We bwana unaangalia kupitia wap maana naona iran kwenyewe ni shwari
Stori Za Jana ambazo tumedanganywa humu missile 10 na zote intercepted, leo taarifa, zimetoka maeneo 14 tofauti yamepigwa, Tel Aviv na Haifa na majina yametajwa ikiwemo Sail tower ya Haifa ambayo kuna Kampuni za AI zinazo deal na IDF.kama kawaida wasemavyo.. asubuhi tunaona nyumba zimebomoka..
Mkuu hawapigi masaa 24 nonstop.Hz apdate inaonekna israel siku nzima anapiga naon kma kuna propaganda hakuna uhalisia yan masaa 24 hawapumzik leo hyo irani si ingekuw haitamaniki
Hz apdate inaonekna israel siku nzima anapiga naon kma kuna propaganda hakuna uhalisia yan masaa 24 hawapumzik leo hyo irani si ingekuw haitamaniki
Iran nchi kubwa sana pia Israel ndege za kivita ni nyingi eg siku ya kwanza zilifanya mashambulizi ndege 200 na zote zikatoka salama but nowadays huwa zinapiga approximated 30 so nahisi zinaingia kwa shift pia watakuwa wamekaza maana wanaona wakicheka na Iran atawamaliza so hawataki kumpa nafasi apumue ni mwendo wa kuwapeleka aheraHz apdate inaonekna israel siku nzima anapiga naon kma kuna propaganda hakuna uhalisia yan masaa 24 hawapumzik leo hyo irani si ingekuw haitamaniki
Muda huu Israel panashambuliwa?? Si kweli aiseeNaangalia hapa naona Israel inshambuliwa ila huku naona iran tokea asubuh anashambiliwa tu
Ila inasemekana ni bunker baster zao ambazo si tishio sana wala sio lile la USA la kushusha kilima na ujinga wa fordoIsrael imeshambulia kwa kombora la GBU bunker buster
Mkuu Isfahan umeirudia zaid ya mara saba leo tu hiyo sehemu hizo muhim haijaisha tuIsrael muda huu inashambulia mashariki ya Isfahan
Mkuu itakua Kuna targets nyingi na si eneo dogo, huko Kuna military facilities za kutoshaMkuu Isfahan umeirudia zaid ya mara saba leo tu hiyo sehemu hizo muhim haijaisha tu